Series (Special thread)

Ndiyo my baby girl ndo mida yenyewe njoo mpenzi wangu

Tufanye hiviiiii angalia kwanza utanisimulia unishawishi kuiangalia, ila hakikisha if loving you is wrong umeiangalia kwanza, alafu uje na majibu ya maswali ntayokuuliza baadae
 
I was watching the flash ni series nzuri pia, alafu ina uhusiano na arrow
 
Nimemaliza being Mary Jane, scandal na empire naomba nyingine kali wakuu
 

kaka nimengalia American odyssey S01E01 ni nzuri E04 imetoka jana
 
naona Arrow hainogi sijui wengi mmependea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…