mamawakichaga
New Member
- Jul 24, 2014
- 4
- 2
nahisi mwaka huu mzigo utadondoka..mwakani mbali sana
Iko poa mkuu..nenda nayo mdogomdogo
Nimemaliza being Mary Jane, scandal na empire naomba nyingine kali wakuu
Vipi mzigo wa show box??
Halafu kuna series mpya imeanza now ipo eps3 season 1.
Yaani hii ni moto wa kuotea mbali, mpenzi Viol have you watched this? Alafu nimemaliza kuangalia scandal nayo iko vizuriiiii
Show box inapiga mzigo fresh aisee..poa ntaitafuta hiyo
Person of interest Season 5 to come this year
CBS said yesterday
Yaani hii ni moto wa kuotea mbali, mpenzi Viol have you watched this? Alafu nimemaliza kuangalia scandal nayo iko vizuriiiii
Hivi kumbe inaendelea hii! Hata nahisi nishaisahau sijui niliishia wapi!