Series (Special thread)

Nilidownload nikakosea nikadownload "boardwalk empire" ila nayo nzuri but hiyo empire halisi naisaka maana kuna waigizaji wawili nawapenda Sana nimewaona kwenye cover

Itafute tafadhani, ni boooonge moja la series
 

Duu hii itabidi nierenew kwanza ndio niangalie muendelezo maana nishaisahau.
 
ray lee come this way plz to do the needfull, when it comes to naration am very poor at it.
that makes two of us..mi mwenyewe mbovu..u nid to be smart kunielewa nikisimulia..mana movie ya 2 hrs naweza kusimulia kwa dk 4..labda kwa njia ya maswali kidogo najitahidi..by the way scandal sijapata kuiona
 
how to get away with murder
grey anatomy
VD
The original
scopion
noah ark
 
Hii inaitwa Tyrant ni nZuri? Naona promo lake FOX inaonekana imetulia
 
Ninauza External yangu Mpya kwenye Box ikiwa Na Database/Well arranged TV-Series 45.

Ukiikosa utajutia.

Whatsapp: 0715-240140

 
mkuu umeshapata mnunuzi wa hii kitu?
 
gorgeousmimi I will see u at 9:00...kwisha habari yako lol
Ha ha ha Eddy kapata mbaya wake lool kawa mdogo ka piriton hashuo la kuku lote limemuisha..
si unaona mafia walivyomuandama na shooting episode sijui ka atapona mtu pale!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…