Series (Special thread)

Nimemaliza kuicheki American Odyssey ila bado haijasha baadhi ya episod...imetulia sana ...

Sasa hivi nimeanza kucheki kitu cha Allergiance nayo ipo poa sana inaonekana..
 
Nimemaliza kuicheki American Odyssey ila bado haijasha baadhi ya episod...imetulia sana ...

Sasa hivi nimeanza kucheki kitu cha Allergiance nayo ipo poa sana inaonekana..

Allegiance ni nzuri sana endelea kuitazama, binafsi nilishaimaliza na sasa nasubiri season two...
 
Hii TV Show pamoja kuwa jina zuri sijui kwa nini sijisikii kuitazama...

Ngoja nitaivutia waya niitazame...
ni nzuri. IMDB ina 8.3 na rotten tomatoes ina 86%. kinachonikera ni kunormalize ushoga ila kwenye masuala ya sheria nimewakubali mno. pia lead actress Viola Davis anajua sana kuigiza kama mtu mwenye mamlaka. nilimcheki kwenye movie ya day and knight nikashawishika kutafuta kazi zake zingine.
 
ray lee dah mtoto wa alex katoka black damn!!namuonea huruma brad hata sijui jamani atafanya nn na ndo kwanza kaamua kumsamehe alex kisha his worst nightmare becomes real!!Binaadamu kweli tumeumbiwa mateso!!
 
Last edited by a moderator:

Brad atachizi.. Au mtt waliyemuona sio wa alex..kwani uwa wanaandika majina???..mi mgeni
 
Last edited by a moderator:
Brad fungu la kukosa..ila mtt inabidi awe wa randal ili drama iendelee poa..labda jaribu kuwatext directors uwaombe wabadilishe mawazo lol!!

Haya bana....miss kelly chungu imekuwa tam mkesha ucku kucha teh
 
naona Arrow hainogi sijui wengi mmependea nini

Kaka na mie ilininda nikaishia eosode ya 4 kipindi imetoka. Cjui wary wamekolea na nn aisee.

Naamini ingechukua setting ya porini kama ilivyoanza basi ingenoga.
 
Kaka na mie ilininda nikaishia eosode ya 4 kipindi imetoka. Cjui wary wamekolea na nn aisee.

Naamini ingechukua setting ya porini kama ilivyoanza basi ingenoga.

Ni kweli mkuu part nzuri ni wakiwa porini,wakirudi town inaanza kuboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…