Series (Special thread)

Jon's body will be burned so he doesn't turn into a walker. He is Targaryan so like Dani, he will rise out of the fire as Jon Targaryan and Azore Ahai. Jon Snow character is gone. This also releases him from Nights watch commitments
 
Ila wanakera eti kila mwaka(miezi 3) season moja.kitu tamu hivi wanaonjesha onjesha!

Tatizo linalosababisha kutoa mara moja kwa mwaka ni uandikaji wa script kutoka kwenye kitabu ndio maana hata hata mwandishi wake kitabu kwenye S06 amekataa asiwepo kwenye jopo la uandishi wa script coz na yeye anamalizia kuandika A feast for Crows

Pia ndio ina actors wengi sana kuliko show yeyote tokea LOST
Na location kibao kuanzia US mpaka Morocco ...so kumantain show kama hiyo sio kazi ndogo mjomba....tuvumilie tu.
 
Bran sliambiwa hata tembea tena bali atapaa so nasubiri kuona hiyo but niliamini sana Jon snow atakuwa the King of seven kingdoms
 
Watu wa IT kuna kitu kinaitwa Mr Robot kiko season 1 episode 1, naona iko poa sana nasubiria episode 2
 
The red priestess anaweza kumfufua snow ndo mana yuko pale.just thinking.

Mbona hameshindwa kumdefend na kumpa ushindi Stannis Baratheo kule winterfell licha ya sacrifice ya mtoto wake wa pekee, yule red priestess hana lolote ukizingatia uyo uyo Jon Snow alikataa pale alipomshawishi kumsapo Stannis kwenda kuvamia kule Kwa Bolton winterfell

So mie naona Jon Snow kama alimdisapoint Melisande na pia ameshindwa kuprove uchawi wake mbele ya Ramsay the Bastard
 

Visu vyote vile mtu asife ndugu yangu.....unataka uhakika gani
 
Kitabu na show ni tofauti,usituharibie utamu.

Hahahaha kweli bwana mfano nafasi ya Jeyne Poole kuolewa na Ramsay Bolton kwa Bolton's kudanganywa kwamba ni Arya Stark na Tywin kwenye kitabu imechukuliwa na Sansa Stark huku kwenye show

Hata yule mke aliyeoa Robb Stark kwenye kitabu inaonyesha ni kutoka house Lannister kwenye show sio na hata kwenye ile red wedding waliyouliwa hakuwepo ile kwenye show yupo na anauliwa na mimba yake..

What they try to do is to make more dramatic
 
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee at last "the last ship" is here huhuhuhuhu!!!!!!!!
wadau wa last ship kaka chige na wengine go grab ur first episode kwa torrent ndio ina 8 hours now....
am sooo happy.:smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:

Last ship ni nzuri but ilianza kulost plot yake na sijui hiyo S02 itaendeleaje
But thanks kwa taarifa Subiri niicheki
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…