Nyokawashaba
Member
- Apr 6, 2013
- 16
- 10
Bran atatake control of dragon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanakera eti kila mwaka(miezi 3) season moja.kitu tamu hivi wanaonjesha onjesha!
Jon's body will be burned so he doesn't turn into a walker. He is Targaryan so like Dani, he will rise out of the fire as Jon Targaryan and Azore Ahai. Jon Snow character is gone. This also releases him from Nights watch commitments
Tyrant season 2 imeshaanza...
Da vinci inatoka lin aseee
The red priestess anaweza kumfufua snow ndo mana yuko pale.just thinking.
Hatuna uhakika kama jon snow kafa,alafu pia uwepo wa melissandre at the wall inaonyesha possibility ya kumfufua jon snow kama amekufa sababu their lord of lights anaweza fufua watu,pia kumbuka Sam alisema kua "jon snow always comes back" wakati jon snow anaenda hardhome.
david palmer
jack bauer
tony almeida
nina myre
chars logan.
24 hours. the best.
Kitabu na show ni tofauti,usituharibie utamu.
Wakuu kuna series yoyote Mpya imeanza this summer kwani sahivi naangalia tyrant pekee!
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee at last "the last ship" is here huhuhuhuhu!!!!!!!!
wadau wa last ship kaka chige na wengine go grab ur first episode kwa torrent ndio ina 8 hours now....
am sooo happy.:smile-big::smile-big:
Tafta moja hivi inaitwa Mr. Robot episode ya pili itatoka tarehe 24 this June !
Mkuu hiyo ni ya Marobot au