chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Hakuna nyingine tofauti na hiyo iliyotoka mkuu !
Mkuuu last ship haijawahi kuloose plots and will never lose.
Na miongoni mwa best series ambazo you can't forward even a second. Pakua episode one uone kama hujalilia episode ya pili itoke hata sasa.
Labda useme hujaipenda tu mkuu lakini sio hio sababu.
NANI ANAFATILIA Mr.Robot HUMU...?
Nimeangalia Pilot ni Nzuri lakini inamakosa mengi sana....labda uko mbele itachanganya
Mi nauliza MR.ROBOT sio PILOT...?!!!
Ndio nmeangalia episode ya kwanza
Mi nauliza MR.ROBOT sio PILOT...?!!!
Nimetumia neno pilot kwa maana ya episode ya kwanza..
Mbona Kali kinoma Hata Sijaona Mapungufu Yake !?
Zipo nyingi tu kaka ila bado sijaamua kuanza kuangalia....Niko bize kidogo na majukumu ya kiofisi nowdays ...
But ebu cheki izi
.utopia
.the last man on earth
.wayward pines
.American odyssey
My views -my top 10
1st-24hrs
2nd-prison break
3rd-personal of interest
4th-nikita
5th-the blacklist
6th-hawaii five0
7th-arrows
8th-lie to me
9th-the mentalist
10th-human target
Innocizy i hv watched the last ship episod 1 n 2, aiseee ni nzuri mno ila nikagundua season 1 sikuiangalia yote maana nineshanfaa tu meli imevamiwa ila ilivamiwa vp ndio sikujuaImeanza kutoka jna episode ya kwanza...hot than hell
Innocizy i hv watched the last ship episod 1 n 2, aiseee ni nzuri mno ila nikagundua season 1 sikuiangalia yote maana nineshanfaa tu meli imevamiwa ila ilivamiwa vp ndio sikujua
Kuna maduka huwa wanazo series na movies unaweza enda chukua..
Kiukweli last ship ni bad news......too bad kaka Chuma-cha-reli anadai imeishiwa plots....
Go look for season one huwa wanakuwekea for 3000 tu..naona ni nyepesi kuliko kushusha torrent...
Me I have it ila nko Moro kwasasa,I would have given u.
Wory not ndio nadownload zile episod za mwisho ambazo sikucheki, yaah for sure nimeipenda aisee yaani unakuwa na shauku ya kujua wht next, kwamie ambae movie huwa naangalia kwa burudani tu bila kuchunguza saaaana wht is inside it najionea poa tu, hayo mambo ya kitaalamu nawaachia nyie na chuma cha reli
Ukimaliza hio kamata the 100
The hundred niliangaliaga kidogo ile season 1 nadhani episod km 8 hv, hivi iliendelea??