Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahaha tabia mbaya kwenye mapenzi ndiyo nzuri...
Nimependa pale Connie alipomfumania Paul na kidemu chake akaenda kumtoa kwa wivu huku yeye ndio anayecheat ndoa yake, wakati wanaelekea ndani kwenye corridor Paul akamvuta Connie huku kambinua na kumwambia "I know what you want Connie" na mtoto akaresist kidogo huku ngoma ikiwa imeshafika kunako akaanza kulia kwa mahaba.
Nyingine pale cafe Connie alipokutana na rafiki zake Paul ikabidi amfate hukohuko akampeleka Toilet huku mtoto anasema " this is my best place Paul"
Nilijifunza kuwa mtundu na kujaribu kila kitu....
Pia mume wake Connie aliua bila kukusudia na Connie alipomuuliza akamwambia "I suppose to kill you not him"
This is my best romantic movie of all time
Hahahaaaaa!! Wacha weeeh! Best kwasababu ya tabia mbaya?? Haya bwana, mie hata siikumbuki vizuri maana ni muda sn niliiona, kilalakheri kwakuwa mbunifu.