Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii Reign niliiangaliaga Pilot yake tu na kusema na ukweli sikuipenda kivile coz naona imekaa kiteenager sana na mie series za kiteenager nmezichoka kuanzia Vampire diaries mpaka One tree hill..

Ina mandhali nzuri ya kizamani na kifalme lakini wameweka plot yake kama ya mapenzi ya kicolloge and I'm too old for this..

Tukirudi kwenye swali lako ni kwamba hii Reign coz inahusu mahusiano ngono zake sio zile kali na za hadharani kama kwenye Game of thrones ingawa zipo
Inafaa kuangalia

ASANTE SANA,
Kwa maelezo mazuri.
 
QEEN SEONDUK (korean)

ARROW ON THE BOW_STRING (japan &chinese)

IRIS (korean)

GU FAMILY BOOK(korean)

THE GREAT KING SEJONG (korean)

MERLIN (eropean)

ARROW (european)

FAST AND FURIOUS (european)

SPARTACUS "age18+" (european)

SLAVE HUNTER (korean)

ENDLES LOVE (korean)

PRISON BREAK (european)

BRIDAL MASK (korean)

da nyingine naanza kuzisahau nikizkumbuk nawaletea
 
atoto surprise yako hii hapa

Kuna kitu cha Jane the Virgin... Itafute nzuri hiyo

Jane aliitunza sana bikra yake kwa muda wa miaka 23, lakini kilichomtokea ni balaa.....Kwa bahati mbaya Dr mwenye mastress alimu inseminate ( kupandikiza mimba ,artificial insemination) kwa makosa akiwa bado bikra..

Yaani mimba kapata wakati utamu hajawai kuupata(sentence hii nimekosea kuileta huku kwake ni kule MMU)
 
Last edited by a moderator:

Daaaah! Kanisikitisha kweli aiseee, naye ana kiranga ndio akome, hiyo bikra sasa alikuwa anamtunzia nani?

Thanx nitaitafuta aisee.
 
Yaani boyfriend wake kila akimfosi anachomoa aliweka nadhili kwa bibi yake......

Mie mwanamke akiniambia yuko bikra natoka nduki anioni tena
 
Heeeeh!! Unakwenda wapi sasa, hautaki kuwa wa kwamza jamani?
 
Mabikra wanasumbua bibie, mie napenda wazoefu mambo ya kugalagazana....we mtu ataukimaliza hakufuti yeye anang'ang'ania kufumba macho na kubana migulu kwa uchungu....
 
Wacha weee, speaking out of experience? Unanikuza ujue.
 
Hahahaha ujue atoto tunaligeuza jukwaa letu kuwa la MMU

Inabidi tumuombe msamaha Viol na mdau Innocizy

Tutafanyaje sasa na series ndio zinaleta balaa hilo? Wakati tunasubiri updates za new series sio mbaya bwana, kwani kuna mtu kanuna? Innocizy hana shida mzungu wa nafsi yule, maana naye alileta balaa la kurecomend movie imejaa tabia mbaya hiyooo ikabidi tutoke nje ya mada kidogo.
 
Hahaha nyie endeleeni tu...kuna wengine wanapita wanasoma wanaenda apply huko. Hata likes hawataki toa ila wanasoma na wanatamani muendelee
 
Last edited by a moderator:
Hii The Last Ship mbona inaboa haina uhalisia kabisa, Yaani wanafanya Urusi kama mavetinam wakati Urusi wanakaribiana na Marekani kwa uwezo wa kijeshi.
 
Mmmmh! Mie naburudika tu hayo mengine nawaachia wataalamu, ngoja Innocizy aje
 
Last edited by a moderator:
Hii The Last Ship mbona inaboa haina uhalisia kabisa, Yaani wanafanya Urusi kama mavetinam wakati Urusi wanakaribiana na Marekani kwa uwezo wa kijeshi.

Thats what I say brother Jawai..wameshalost plot ya series...wanachofanya ni kuleta muendelezo but i guess this will be the season finale kwa hii the Last ship...wanachofanya ni kurudia yaleyale tu...business as usual...
They don't have anything new..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom