Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Hii Reign niliiangaliaga Pilot yake tu na kusema na ukweli sikuipenda kivile coz naona imekaa kiteenager sana na mie series za kiteenager nmezichoka kuanzia Vampire diaries mpaka One tree hill..
Ina mandhali nzuri ya kizamani na kifalme lakini wameweka plot yake kama ya mapenzi ya kicolloge and I'm too old for this..
Tukirudi kwenye swali lako ni kwamba hii Reign coz inahusu mahusiano ngono zake sio zile kali na za hadharani kama kwenye Game of thrones ingawa zipo
Inafaa kuangalia
ASANTE SANA,
Kwa maelezo mazuri.