Series (Special thread)

Devious maid s03,The beauty and the beast s03 , orange is the new black s03 , Gotham ni mpya kabisa.

Devious maid nzuri nimemaliza season one,inavutia mno ila imeniboa hawajatoa season two
 
Devious maid nzuri nimemaliza season one,inavutia mno ila imeniboa hawajatoa season two

Ishatoka na season 3 ishatoka hadi hadi episod 6 tena season 3 ndio inanoga hatari
 
Ishatoka hadi episod 5 tena season two ndio inanoga hatari

Vipi yule black beauty mwenye lafudhi ya Spanish hawajahalalisha tu mgegedano au bado wanaibiana
 
Vipi yule black beauty mwenye lafudhi ya Spanish hawajahalalisha tu mgegedano au bado wanaibiana

Angalia hapo awali nime edit nilikosea, huyo black mbona simkumbuki tena!! Hebu mtaje jina
 
Angalia hapo awali nime edit nilikosea, huyo black mbona simkumbuki tena!! Hebu mtaje jina
namaanisha Rosie,vipi hivi alikufa hata sielewi season 1 iliisha vibaya
 
namaanisha Rosie,vipi hivi alikufa hata sielewi season 1 iliisha vibaya

We mambo yamemnyookea mpaka akafunga ndoa na bosi wake, siku ya ndoa yao akapigwa risasi akawa kwenye coma kwa muda then akapona, sasa kimbembe ni sasa ambapo yule mumewe aliyedhani amekufa kumbe yupo hai na kaja kumtafuta, sasa rossie km kawaida yake haoshi vituko, kajikuta anawaprnda wote wawili(mume wa sasa na aliyekufa), na amefikia kumsaliti mumewe wa sasa kwa kuduu na yule wa zamani na wa sasa hampi unyumba kwakuwa padri alimuambia in the eyes of God she is still married to her former husband.
 
namaanisha Rosie,vipi hivi alikufa hata sielewi season 1 iliisha vibaya

We mambo yamnyookea mpaka akafunga ndoa na bosi wake, siku ya ndoa yao akapigwa risasi akawa kwenye coma kwa muda then akapona, sasa kimbembe ni sasa ambapo yule mumewe aliyedhani amekufa kumbe yupo hai na kaja kumtafuta, sasa rossie km kawaida yake haoshi vituko, kajikuta anawaprnda wote wawili(mume wa sasa na aliyekufa), na amefikia kumsaliti mumewe wa sasa kwa kuduu na yule wa zamani na wa sasa hampi unyumba kwakuwa padri alimuambia in the eyes of God she is still married to her former husband.
 
wa ukweli ila ana mapepe ile mbaya
 
She is veryyyy funy, ila hii series ni tamu aisee yaani nachekaga mpaka basi nikiicheki.
kuna yule msichana mfanyakazi wa yule bibi mgonjwa wa mguu na mwenye kansa,hehehe aisee mapenzi yanaumiza,yule binti kamtesa sana yule kijana mweusi ambaye wote wanafanya kazi pamoja
 
kuna yule msichana mfanyakazi wa yule bibi mgonjwa wa mguu na mwenye kansa,hehehe aisee mapenzi yanaumiza,yule binti kamtesa sana yule kijana mweusi ambaye wote wanafanya kazi pamoja

Hapo mbona sijapapata?
 
Hivi wakuu kumbe Walking dead mwisho season ya ngapi?
 
Power and last ship are getting hotter and hotter. Wow!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…