chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Aliens wanavamia earth. So watu wana fight back.
Falling skies niliiangalia season 01 mda mrefu kidogo 2011....drama yake nzuri sema ilikuwa inanikera vile Aliens walivyokuwa wanaingia kwenye backbone za watu (mie mara nyingi nikiangalia picha zenye kinyaa nakeleka sana)
Uwiiii usiniambie kuna hayo mambo maana hata mm zinanishindaga movie za hivyo
Uwiiii usiniambie kuna hayo mambo maana hata mm zinanishindaga movie za hivyo
Yaani we acha eti alien anaota nyuma ya mgongo kama uyoga..
Yaani we acha eti alien anaota nyuma ya mgongo kama uyoga..
Angalia huyo aliens alivyomuingia
Kwakweli ya hivi siwezi angalia, zishanishindaga kabisa.
Hahahaha kumbe muonga eehh..
Hata Walking Dead nayo inanikela lakini ilikuwa tamu sana drama yake nikaangalia hivyo hivyo mpaka hii season 5
Kuna hii series inaitwa The Last Ship, iko season 2 episode ya 5 sasa. Ni nzuri sana wadau.
Stori yake inahusu viral outbreak ambayo inaangamiza almost watu wote duniani. Meli moja ya kijeshi ina wataalam ambao wanagundua chanjo na hapo ndipo kwenye mshikemshike unapoanza as kila mtu anataka hiyo chanzo iwe yake...
Kuna series kali. Ila mi nimebahatika kukumbuka hizi chache.
Hii ya kwanza ni noumer
ONCE UPON A TIME.
The mentalist
V
Strike
The person of interest
Honeland
Teen wolf
Revenge
Supernatural
Nataman niipate iyo ya kwanza Once upon a time
State of affairs iko poa sana!