Series (Special thread)

Series (Special thread)

Aliens wanavamia earth. So watu wana fight back.

Falling skies niliiangalia season 01 mda mrefu kidogo 2011....drama yake nzuri sema ilikuwa inanikera vile Aliens walivyokuwa wanaingia kwenye backbone za watu (mie mara nyingi nikiangalia picha zenye kinyaa nakeleka sana)
 
Uwiiii usiniambie kuna hayo mambo maana hata mm zinanishindaga movie za hivyo
 
Attachments

  • 1436978280924.jpg
    1436978280924.jpg
    7.6 KB · Views: 164
Kuna hii series inaitwa The Last Ship, iko season 2 episode ya 5 sasa. Ni nzuri sana wadau.
Stori yake inahusu viral outbreak ambayo inaangamiza almost watu wote duniani. Meli moja ya kijeshi ina wataalam ambao wanagundua chanjo na hapo ndipo kwenye mshikemshike unapoanza as kila mtu anataka hiyo chanzo iwe yake...
 
Hiyo tunaendelea nayo Mkuu...karibu katika jukwaa letu
 
Kuna series kali. Ila mi nimebahatika kukumbuka hizi chache.
Hii ya kwanza ni noumer

ONCE UPON A TIME.

The mentalist
V
Strike
The person of interest
Honeland
Teen wolf
Revenge
Supernatural

Nataman niipate iyo ya kwanza Once upon a time
 
Huwa napenda series zinahusiana na upelelezi mfano wa hizo series ni CROSSING LINES, CRISIS. Anayefahamu zingine naomba anijulishe.
 
Naona Kimya kimetawala kwenye jukwaa letu..

Kuna hizi series mbili naziangalia ni nzuri zimenivutia na ningependa na nyie wadau mzicheki

1)Leftovers..
Hii theme yake inafanana na movie ya Left behind(2015) aliyocheza Nicolas Cage, ni kwamba kiasi ya watu 160 million (2% of world population) wanapotea ghafla kama wamenyakuliwa ni nzuri sana kuiangalia

2)Forever
Hii inamuhusu jamaa ambaye anaishi duniani kwa kipindi cha miaka 200 yeye siku zote akifa anafufuka mda huo huo na maisha yanaendelea sasa amechoka kuishi anataka kufa so anajaribu kutafuta njia za kufa na kutegua kitendawili kwanini afi

Ni series nzuri kuangalia coz zina ideal mpya ambazo ni maswali na mafumbo miongoni mwa watazamaji..hutataka ukue majibu ya maswali hayo
 
Back
Top Bottom