Ndo taarifa zilizoko kwenye mtandao....jack no more kweenye 24 aisee...just google
Taarifa hizi zinaweza kuwa za kweli au za uongo kama unavyojua kwenye mitandao kunakuwa na gossip nyingi sana hasa ukigoogle unakuwa directed kwenye vyanzo mbalimbali ambavyo havina uhakika sana
FOX ndio kituo cha TV kinachorusha na kutengeneza hii series hivyo ndio kinachoweza kutoa taarifa ambayo ni sahihi ingawa wamekuwa wakijichanganya
Mfano katika episode 24 ya mwisho ya season 8 hapo mwaka 2010 walisema ndio season finale kwamba hawatatoa tena lakini ilipofika 2012 zikaanza tetesi watatoa season 9 kwa ajiri ya dedication kwa Obama.
Kipindi hicho Kieffer Sutherland( Jack Bauer) alikuwa na project nyingine tayari ya series ya TOUCH , hivyo ikawa ni vigumu kwa upande wake kubalance muda mpaka FOX wakatangaza watamrecruit actor Kevin Bacon aje amreplace Kieffer kwenye nafasi ya jack lakini akija na character mpya..
Ingawa mpango huo ulifeli na Kieffer akaendelea na 24.live another day hapo 2014 baada ya kufikia makubaliano, na project yake ya Touch kufiki mwisho..
Sasa tukirudi kwenye hii season 10 bado FOX hawajaongea lolote mpaka dakika hii ingawa kuna tetesi nyingi ambazo zinaongelea series hii kutakana na umaarufu wake na inasemekana wameshaanza kuitengeneza
Kwa mtazamo wangu mi naona Kieffer Sutherland bado anaitajika sana kwenye hii series na nmemfatiria nmeona yupo free so hakuna sababu ya kumuacha..