Series (Special thread)

Series (Special thread)

Noo season 2 ndio inaendelea imefika episod ya 9, tiba ilipatikani season ya kwanza mwishoni kama sikosei, Innocizy si ndio?

Tiba ilipatikana season one. Season two imekuja na masaibu mengine ya makundi ya watu wanajiita chosen ones ambao hawapati virusi wanataka kucorupt usambazaji wa dawa ili wao waweze kurule the world.
 
Last edited by a moderator:
Tiba ilipatikana season one. Season two imekuja na masaibu mengine ya makundi ya watu wanajiita chosen ones ambao hawapati virusi wanataka kucorupt usambazaji wa dawa ili wao waweze kurule the world.

Duh...inasound itakuwa poa sana....lets ....! Ila kuna kama uhusiano flan hiv na ebola...wajua wameshatangaza kupatika kwa dawa....sasa nchi zote lazma zinunue hii dawa kwa woga wa lile janga la africa magharibi
 
Duh...inasound itakuwa poa sana....lets ....! Ila kuna kama uhusiano flan hiv na ebola...wajua wameshatangaza kupatika kwa dawa....sasa nchi zote lazma zinunue hii dawa kwa woga wa lile janga la africa magharibi

Nilishakisema iko kitu wakati hiii series inaanza
 
Ndo taarifa zilizoko kwenye mtandao....jack no more kweenye 24 aisee...just google

Taarifa hizi zinaweza kuwa za kweli au za uongo kama unavyojua kwenye mitandao kunakuwa na gossip nyingi sana hasa ukigoogle unakuwa directed kwenye vyanzo mbalimbali ambavyo havina uhakika sana

FOX ndio kituo cha TV kinachorusha na kutengeneza hii series hivyo ndio kinachoweza kutoa taarifa ambayo ni sahihi ingawa wamekuwa wakijichanganya

Mfano katika episode 24 ya mwisho ya season 8 hapo mwaka 2010 walisema ndio season finale kwamba hawatatoa tena lakini ilipofika 2012 zikaanza tetesi watatoa season 9 kwa ajiri ya dedication kwa Obama.

Kipindi hicho Kieffer Sutherland( Jack Bauer) alikuwa na project nyingine tayari ya series ya TOUCH , hivyo ikawa ni vigumu kwa upande wake kubalance muda mpaka FOX wakatangaza watamrecruit actor Kevin Bacon aje amreplace Kieffer kwenye nafasi ya jack lakini akija na character mpya..

Ingawa mpango huo ulifeli na Kieffer akaendelea na 24.live another day hapo 2014 baada ya kufikia makubaliano, na project yake ya Touch kufiki mwisho..

Sasa tukirudi kwenye hii season 10 bado FOX hawajaongea lolote mpaka dakika hii ingawa kuna tetesi nyingi ambazo zinaongelea series hii kutakana na umaarufu wake na inasemekana wameshaanza kuitengeneza
Kwa mtazamo wangu mi naona Kieffer Sutherland bado anaitajika sana kwenye hii series na nmemfatiria nmeona yupo free so hakuna sababu ya kumuacha..
 
Hivi kuna alieangalia COMPLICATIONS?
Hii kiboko.
 

Attachments

  • 1439495048614.jpg
    1439495048614.jpg
    27.9 KB · Views: 149
Inahusu nini hasa?!

John Ellison, a disillusioned suburban ER doctor, finds his existence transformed when he intervenes in a drive-by shooting, saving a young boy's life and killing one of his attackers. When he learns the boy is still marked for death, he finds himself compelled to save him at any cost and discovers that his life and his outlook on medicine may never be the same.
 
Murder In The First??

Hii niliionaga kule Metacritics nikapanga ntakuja kuiangalia sababu ya huyu Taye diggs namkubali sana huyu jamaa
Ila ndio hivo ratiba ilinibana sikuweza kuiona yote
Niliangalia pilot yake tuu ila nashukuru umenikumbusha nataanza kuiangalia..thanx
 
Haaaa mie nilikua naangalia, mara mdogo wangu akaingia tena ilikua ile Angie na Jamie wanabutuana

Yaani mie siku hiyo nimeiweka kwa mbwembweeee tuwatch na dogo as anamkubali sn 50, toooba si mnjunjuano ukaanza live live, kumcheki dogo katoa mijicho nikazima na kuichukua nikahamia chumbani kuiwatch, dogo bila haya anauliza mbona umetoa? Nikamjibu imeishia hapo.
 
Back
Top Bottom