Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mweeeeh!! Mpaka tukio litokee ndio naotwa!!! Ila wengine wanaotwa tu!! Haya bwana, mie nishaiangalia hapa nasubiri tu season two, humo full michepuko
season 2 ishatoka kitambo..itafute
 
mwanzo nilisikia hadi january 2016,ila nikaja kusikia tena wanajitahidi waiachie august mwaka huu..bado sina uhakika

Mmmmh!! Hadi mwakani jamani si itakuwa mbali mno!! Anyway acha tungoje
 
Back
Top Bottom