Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah..season 2..nayo ndo imeisha..
poa poa..ukianza unamaliza fasta..season 2 iko poa sanaDuuh! Cjui lini tatulia niiangalie, ngoja this w.end niicheki
Ndo nimemaliza season ya pili,imetulia
Haya wapenzi wa series fuatilieni hizi mambo, hizi zote bado ndio mbichi zimeanza karibuni, isipokuwa Allegiance tayari ishamalizika season one;
1. Allegiance (hii inafanana kidogo na The Americans)
2. The Messengers
3. American Odyssey ( inanikumbusha Homeland ilivyokuwa)
4. Wayward Pines
Nimemaliza kuicheki American Odyssey ila bado haijasha baadhi ya episod...imetulia sana ...
Sasa hivi nimeanza kucheki kitu cha Allergiance nayo ipo poa sana inaonekana..
nacheki how to get away with murder. ni series nzuri.
icheki mkuu..sio mbayaHii TV Show pamoja kuwa jina zuri sijui kwa nini sijisikii kuitazama...
Ngoja nitaivutia waya niitazame...
ni nzuri. IMDB ina 8.3 na rotten tomatoes ina 86%. kinachonikera ni kunormalize ushoga ila kwenye masuala ya sheria nimewakubali mno. pia lead actress Viola Davis anajua sana kuigiza kama mtu mwenye mamlaka. nilimcheki kwenye movie ya day and knight nikashawishika kutafuta kazi zake zingine.Hii TV Show pamoja kuwa jina zuri sijui kwa nini sijisikii kuitazama...
Ngoja nitaivutia waya niitazame...
icheki mkuu..sio mbaya
ray lee dah mtoto wa alex katoka black damn!!namuonea huruma brad hata sijui jamani atafanya nn na ndo kwanza kaamua kumsamehe alex kisha his worst nightmare becomes real!!Binaadamu kweli tumeumbiwa mateso!!
Naona walihesabu pale...i hope awe wa brad jamanii namsikitikia huyo brad!Brad atachizi.. Au mtt waliyemuona sio wa alex..kwani uwa wanaandika majina???..mi mgeni
Naona walihesabu pale...i hope awe wa brad jamanii namsikitikia huyo brad!
Brad fungu la kukosa..ila mtt inabidi awe wa randal ili drama iendelee poa..labda jaribu kuwatext directors uwaombe wabadilishe mawazo lol!!
Kaka inaelezea ulafi madaraka, udikteta na mapinduzi mfano halisi ni nchi ya Libya ilivyokua na GadafiIko poa kama unapenda kuangalia mambo ya kigaidi nchi ya uarabun
naona Arrow hainogi sijui wengi mmependea nini
Kaka na mie ilininda nikaishia eosode ya 4 kipindi imetoka. Cjui wary wamekolea na nn aisee.
Naamini ingechukua setting ya porini kama ilivyoanza basi ingenoga.