chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Game of thrones sasa imekuwa too much kila actor anaeonyesha Kupendwa anakufa season 5 imeisha vibaya
This is the good thing abt author Martin...
Imenikumbusha ile the rain of castemelle alipouliwa Rob Stark na mama yake...
Stark family ni noble n very innocent ila wao ndio victim all the time...starting with Ned,katly,Rob,bran n now the bastard son Jon snow hata yule Greyjoy anasafa coz of Stark family.
Watu wengi wanaamini na wanajua watu wanyonge na wapenda haki ndio wanaoibukaga washindi katika movie nyingi na hadith but mwandishi Martin amejaribu kwenda against na hiyo dhana
Mie tokea Ned Stark rafiki wa Mad king Robert Berathion auliwe na king joffrey pia King of the North Rob Stark nae auliwe now najua mtu yeyote anaweza kufa huko westereus..