Series (Special thread)

Series (Special thread)

chuma cha reli yaani i was thinking of asking you to recoment another series for me to watch, which one shud i start with?

Start with leftovers bcoz It has family matter issues,after the disappeared of people in the world a police officer start to maintain his family in a good way ambapo mke wake amemuacha na watoto wawili na kwenda kujiunga na kikundi cha maajabu ambacho mpaka sasa sijajua dhumuni lao ni nini

Hii ni nzuri coz imestic kwenye changamoto mikasa mbali mbali ya kimaisha esp kwenye ndoa na hii inatufaa sana sisi vijana ambao tunataka kuingia kwenye changamoto za ndoa
 
Last edited by a moderator:

Thanx.
 
mimi nimeona baadhi na nimezi rate kama hivi

SERIES MOVIES
1.BREAKING BAD ★★★★★
2.POWER ★★★★
3.FLASH ★★★★
4.FRINGE ★★★★
5.GOTHAM ???
6.MISTRESSES ???
7.ROYAL PAINS ???
8.SCANDAL ★★★★★
9.EMPIRE ★★★★★
10.THE HUNDRED ???
11.THE ARROW ★★★
12.GREY'S ANATOMY ★★★★
13.BLACKLIST ★★★★
14.DEVIOUS MAIDS ???
15.TYRANT ★★★
16.EXTANT ???
17.CHICAGO FIRE ???
18.BETRAYAL ???
19.PERSON OF INTEREST ★★★
20.AMERICAN ODDIES ★★★★
21.ONCE UPON A TIME ???
22.STRIKE ???
23.SUPERNATURAL ???
24.REVENGE ???
25.THE MENTALIST ???
 
Naanza kuchukia series za wamarekani....yaan zina vionjo vya ushoga na uchokozi dhahiri kwa baadhi ya watu. Mfano nlikuwa natizama american odyssey...pana lishoga fulan humo....linaniboa halafu lina mahusiano na mwafrika. Halafu pana mahala mwarabu alitaka kumbaka mwanamke wa kizungu....yule muarabu wamempa jina la muhamad. Binafsi nimeboreka japo series hyo ni nzur.
 
Hasara tuletee mazingira mazima ya hili Dili.

Marekani ni nchi na in watu wengi.

kuwapa Wamarekani Serengeti ni sentensi Tata.

Nani mwenyewe hasa kapewa?

Mkuuu umeiba point yangu mkuu....nilikua nataka andika gazeti kuhusu huuu ujinga wa series na movie za hawa jamaaa zetu...
Unajua kitu kama hukipendi hata kukifuatilia utaona ni kero..
Ila kwa sasa utaona watu wwngi mfano wanaisubiri kwa hamu sana empire ambayo humo ushoga unasifiwa na nyimbo zinaimbwa kabisa.
Ukitazama kwa ukaribu utaona kadri watu wanavyoendelea kutazama haya mambo ndivyo yanavyoongezeka kwenye jamiii.
Ni hatari.
 
Naanza kuchukia series za wamarekani....yaan zina vionjo vya ushoga na uchokozi dhahiri kwa baadhi ya watu. Mfano nlikuwa natizama american odyssey...pana lishoga fulan humo....linaniboa halafu lina mahusiano na mwafrika. Halafu pana mahala mwarabu alitaka kumbaka mwanamke wa kizungu....yule muarabu wamempa jina la muhamad. Binafsi nimeboreka japo series hyo ni nzur.

Mie niliacha kuitazama Empire na Tyrant sababu ya vitendo vya ushoga...

Tasnia ya filamu huko US inajaribu kuyagusa makundi ya kijamii yanayotengwa ili iyonekane ni kitu cha kawaida na hayo mambo huwezi kuyazuia, suala la ushoga limekuwa ni agenda kuu kwa kipindi kirefu sasa duniani mpaka inaonekana ni hoja inayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari kuliko hata ugaidi...

Mashoga duniani wana harakati zao za kujikomboa ambapo wanatoa fund kwa watengenezaji movie wa Hollywood ili waweke script za kishoga kwenye movie zao ili ionekane kitu cha kawaida.

Ingawa nchi za wenzetu vitendo hivyo vinaonekana kama vya kawaida ambapo mzazi yupo tayari kukaa kwenye TV na kuangalia mambo hayo na mtoto wake lakini sio kuangalia vitendo vya ukatili..mfano kwenye series ya Game of Thrones wachambuzi wengi wanaona haiwatendei haki mashoga kwa kuweka mapenzi ya straight kwa muda mrefu lakini wanaponda vitendo vya ukatili vinavyoonyeshwa mfano ubakaji na manyanyaso mengine

Duniani sasa hivi imebadilika sana na haya mambo ya ushoga yanashamiri, nilikuwa nafanya kazi kwenye shirika moja la kimarekani (NGO'S) niliona fund kubwa tuliyokuwa tunapokea ilikuwa inatoka kwa mashoga wa huko ulaya na USA
 
Nimesoma mahala....ile series kali sana ya 24 inandaliwa ingine....ila the boring part ni kwamba itakuwa na new characters including jack bour....! Nitammiss sana jack...
 
Mr Robot iko vizuri

Kuna prequel ya Heroes Reborn imetoka,ni nzuri
 
Am fedup jaman loh....nimetizama Mr robbot...ushoga kama kawa....nimeidrop....these guys kweli wameamua kutuaminisha ushoga kuwa ni jambo la kawaida kabsa.....!! Binafsi nimekwazika sana naaza kuhamia korea sasa!!
 
Nimeipenda sana series ya THE LAST SHIP SEASON 1 wakuu
Naomba msaada wa jinsi ya kudownload nipate SEASON 2
 
Back
Top Bottom