Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii Gadget iko na 45 TV Series. Asilimia 90 ni Masuala ya upelelezi.

Kwa lugha nyingine Naweza kusema kuwa ni Detective Series za Ukweli.
Sio ya Kuikosa.

View attachment 282123
ImageUploadedByJamiiForums1440948824.581454.jpg
 
Yaani mie siku hiyo nimeiweka kwa mbwembweeee tuwatch na dogo as anamkubali sn 50, toooba si mnjunjuano ukaanza live live, kumcheki dogo katoa mijicho nikazima na kuichukua nikahamia chumbani kuiwatch, dogo bila haya anauliza mbona umetoa? Nikamjibu imeishia hapo.

Hahahaha hii series ni kuweka mbali na watoto. Du Natasha Mrembo balaaa
 
ok..ntaitafuta kama vipi..mistresses iko poa..season ya 3 now..sema ukiianza utaimaliza..ni drama flani hivi dizaini ya single ladies kama umewahi kuicheki..humo ni full michepuko..ukizubaa kidogo hadi mdogo wako anatembea na mume wako

hizi recommendations ni hatari kwa afya za walio single.... series ya kuangalia wawil hiyo!!!
 
Hiii bitten hata siielewi naitazama tu coz sina series nyingine
 
Wadau kila nikinunua series kariakoo full kusumbua..nyingine haziplay kabisa. Hapa town nitapata wapi zenye uhakika.
 
Back
Top Bottom