Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichofanya niache ni ile shoga kuonekana kama ndo mkombozi pekee wa empire. Yaani shoga kupewa role ambayo lazima umpende na kumshangilia. Hapo mm hapana.
Niko radhi nirudi Korea au tollywood aka bongo movie.
Hahahaaaaa!! Korea mie kumenishinda kabisaaaa.
Mkuuu kuna moja ya korea ya kipunga punga kama yale ya Empire mambo ya kina jamal.. Inaitwa frozen flower.....
Kwa upande wangu nime angalia .
1. Teen Wolf.
2. Spartacus.
3. Siri ya Mtungi.
4. Empire.
5. Banshee.
6. 90210.
7. Person of interest.
8. Vampire diares
9. The originals
chekini hizo wadau.
Mkuu hapo siri ya mtungi daaah noma saana hv imeshatoka season 4??
Mkuu sijazicheki hizo..Ila hiyo Narcos ngoja niitafuteHizipia ni shida ila watoto laini laini hazito wafaa
Narcos
Gangrelated
Atoto na kaboom mnazijua hizo series?
Kwa wale wanaopenda series za detective, kuna hii inaitwa FOREVER ni nzuri sana
Hiyo forever ni season 2 ?
Kuna series moja inaitwa The Returned.... Kuna mtu yoyote ashawahi kuiona humu..... Maaana nataka naidownload.... Before i do that nataka kujua kama iko pouwa au ndo zile za kina jamal....
Nyingine mpya inaitwa brink
Sio Mpya Tena Ishaisha So1
Mie nmeichek episode 3 hv inategemea na mtu mana ina story ya waliokufa miaka kadhaa nyuma wanaanza kuonekana mitaani na wengine wanarudi majumbani kwao hawajui chochote kilichotokea...
Doh sijaipenda hata kidogo yaaani.... Naona yuke mtoto "victor" analeta mauza uza tuuu..... Nime download episode tano tuu.... Bt hata ya nne sijafika.... Nimeiacha.....
Kuna hizi mpyaa mwezi huu septemba
1.Quantico
2.The Player
3.Limitless
4.Minority report
5.Narcos
6.Bastard Executor
7.Public Morals