Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kilichofanya niache ni ile shoga kuonekana kama ndo mkombozi pekee wa empire. Yaani shoga kupewa role ambayo lazima umpende na kumshangilia. Hapo mm hapana.
Niko radhi nirudi Korea au tollywood aka bongo movie.

Hahahaaaaa!! Korea mie kumenishinda kabisaaaa.
 
Mkuuu kuna moja ya korea ya kipunga punga kama yale ya Empire mambo ya kina jamal.. Inaitwa frozen flower.....

Mmmmh! Mie za kikorea siziwezi kabisaaa hata kama haina upunga, zishanishinda.
 
Kwa upande wangu nime angalia .

1. Teen Wolf.
2. Spartacus.
3. Siri ya Mtungi.
4. Empire.
5. Banshee.
6. 90210.
7. Person of interest.
8. Vampire diares
9. The originals

chekini hizo wadau.

Mkuu hapo siri ya mtungi daaah noma saana hv imeshatoka season 4??
 
Kuna series moja inaitwa The Returned.... Kuna mtu yoyote ashawahi kuiona humu..... Maaana nataka naidownload.... Before i do that nataka kujua kama iko pouwa au ndo zile za kina jamal....
 
Kuna series moja inaitwa The Returned.... Kuna mtu yoyote ashawahi kuiona humu..... Maaana nataka naidownload.... Before i do that nataka kujua kama iko pouwa au ndo zile za kina jamal....

Mie nmeichek episode 3 hv inategemea na mtu mana ina story ya waliokufa miaka kadhaa nyuma wanaanza kuonekana mitaani na wengine wanarudi majumbani kwao hawajui chochote kilichotokea...
 
How To Get Away With Murder S02,agents Of Shield Next Week,empire Ndani,gotham Ndani,limitless Ndani,last Man On The Earth Ndani,ah Huu Mwezi Ni Hatari....
 
Mie nmeichek episode 3 hv inategemea na mtu mana ina story ya waliokufa miaka kadhaa nyuma wanaanza kuonekana mitaani na wengine wanarudi majumbani kwao hawajui chochote kilichotokea...

Doh sijaipenda hata kidogo yaaani.... Naona yuke mtoto "victor" analeta mauza uza tuuu..... Nime download episode tano tuu.... Bt hata ya nne sijafika.... Nimeiacha.....
 
Doh sijaipenda hata kidogo yaaani.... Naona yuke mtoto "victor" analeta mauza uza tuuu..... Nime download episode tano tuu.... Bt hata ya nne sijafika.... Nimeiacha.....

Hahahaa pole kiongozi...hata mi nliikacha episode ya 3 tu nliona wanazingua na mauzauza
 
Heroes is back...

Sasa hivi imekuja na jina Heroes Reborn kukiwa na characters wengi wageni na wengine wa zamani...

Season premiere ilikuwa juzi tar 24 Sept wametoa episodes 1 & 2...
 
Minority Report ya kipumbavu tu...

Nilitegemea itashahabiana uzuri na mishemishe kama ilivyokuwa movie ile Minority Report ya Tom Cruise...

Kuna hizi mpyaa mwezi huu septemba
1.Quantico
2.The Player
3.Limitless
4.Minority report
5.Narcos
6.Bastard Executor
7.Public Morals
 
Back
Top Bottom