Series (Special thread)

Series (Special thread)

Anaejua new series ya ma zombie anaomba aniambie tofauti na z nation

The Walking Dead - Hii si mpya bali ina seasons kama 5 hivi na season ya mwisho imeisha mwaka huu...

iZombie season ya kwanza imeisha season ya pili itaanza Oktoba...

Na nyinginezo nyingi ambazo ni vampiric (sio zombic)...
 
True blood tayari, the original tayar sleep hollow yani hizo naendelea nazo ngoja nichek hyo the strait
 
Wakuu mm ni mpenzi wa series kama hizi REVOLUTION, LEGEND OF THE SEEKER, VIKINGS....
Yaani zile za Porini Porini. Then zenye action.. Kama kuna yeyote anayejua series za style hiyoo anitajie ni download...
 
Naona under the dome itarudi tena

Person of Interest inarudi tena
 
crisis
consipiracy xiii
cybergodon
faith
shine or go crazy
king gwaeto
empor of the sea
breaking bad
silcon valley
limitless
nikita
the flash
 
Wadau hivi 666 PARK AVENUE iliisha?

series nyengine za kutafuta ni The Gates na Bitten ni nzuri sana.
 
Hizi ni za 2015 hazijaisha lakini nazo ni shidah
Blood and Oil
Colony
Lucifer
Heroes reborn
Limitless
The player
 
Wapendwa Naombeni kujua series Kali
Zenye Action na kutumia Akili km prison break

Zisiwe ZA mazombie...wala zinazoonyesha computerlized adi zinaboa


PLZ PLZ msaada WENU wadau ZIWE action na zenye kutumia akili

....
 
Ulikuwa wapi?kwa jinsi ulivyojieleza kama ndio umetua nchini na ulivyovikuta vyote vigeni
 
Back
Top Bottom