Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimeanza mwaka na hii chuma...ni tamuu thanks Vincenzo Jr
 

Attachments

  • Screenshot_20250101-201321.png
    Screenshot_20250101-201321.png
    1.3 MB · Views: 5
CHifu ww kila kigongo ni kikali
naam nikitoka kazini kuanzia saa 3 hadi 6 usiku huwa napitia series za aina zote hadi namaliza huwa napenda sana story na drama ndani ya series mkuu na yale maneno mazuri ndani ya series hichi ndio kipimo cha kuinasa series kalii mfano hiyo earth abides nimependa jinsi walivyoigiza yaan mda wowote wanapata wageni miyeyusho mfano ep ya 6 kaja jamaa kambaka binti fulani aliye mkuta ndani ya mtaa ule sema nae wame mtoa roho
 
Back
Top Bottom