Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna fujo Mr Q Carleen

Set ni miaka ya 1980’s, FBI agent anaitwa Terry anaenda kwenye moja ya eneo kijijini kufanya uchunguzi wa series za kesi za wizi kwenye benki ambao ulikua unafanywa na watu.

Uchunguzi wa mwanzo unaonesha watu wanaofanya hivyo hata lengo lao sio pesa, bali kuna ajenda ya siri ambayo wanaindaa. Ni ajenda gani hiyo? Mzigo huo hapo.

Ni story ya ukweli. Huu mzigo nao wa kuchill kwa wakati huu, unahitaji akili nzuri sio wazee wa kuruka ruka shaku! Shaku!
View attachment 3184671

Link hii hapa tumia torrent
Ya mwaka gani hii nasearch zinakuja nyingi
 
Naombeni ambazo Kali zisizo na matusi hata romance zisiwepo wakuu. Kama The Killer ni Kali sana na haina hizo mambo, naomba kama hizo au hata Horror it's okay pia. Natanguliza shukran kwenu.
 
Mizigo mliopendekeza hii hapa baadae naishusha
Screenshot_20250102-133756.png
 
Naombeni ambazo Kali zisizo na matusi hata romance zisiwepo wakuu. Kama The Killer ni Kali sana na haina hizo mambo, naomba kama hizo au hata Horror it's okay pia. Natanguliza shukran kwenu.
Horror zisizo na matusi hamna
 
Naombeni ambazo Kali zisizo na matusi hata romance zisiwepo wakuu. Kama The Killer ni Kali sana na haina hizo mambo, naomba kama hizo au hata Horror it's okay pia. Natanguliza shukran kwenu.
Kama umeangalia The Killer, icheki na The Killer's Game. Imechangamka zaidi.
 
Back
Top Bottom