Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kila eoisode moja kwenye wrong side of tracks ina saa moja na dakika kadhaa. Kwa quality ya 720p zina angalau MB 400 KWA KILA EPISODE. halafu quality nzurii l. Naweza sema hawa wanao tuletea episodes zina dakika 39 halafu kwa kila episode ina MB 360 MPAKA 400 wanatuibia. Halafu wamachanganya na ushoga ndani yake.

Hii wrong side of tracks nimeipenda sana. haina mkong'oto ila imekaa kifamilia zaidi na changamoto za hapa na pale za vijana wanao balehe
 
Exactly 💯 brother hii series kalii sana
 
Huyu mtoto 😎🥰
20250111_225451.jpg
 
Back
Top Bottom