Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Nimeshaishusha, ngoja niianzeSeries kalii sana hii 🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaishusha, ngoja niianzeSeries kalii sana hii 🔥
Hii nimeangalia season one peke yakeReacher Ukubwa wa mwili sio wingi wa vipigo bali wingi wa Maongezi
Hizi ndio kazi za kikubwa mkali 😎Hata mimi niliachia SO1.
Eps 01 - Ngumi Moja
Eps 02 - Maongezi
Eps 03 - Maongezi
Eps 04 - Teke
Eps 05 - 08 - Maongezi
😃😀😃Inaweza kuwa kubwa jinga
Ni kweli, season 2 mvuto umepungua.Hii nimeangalia season one peke yake
Mie mpaka sasa naona sijui kwanini hamgongi neagley hapo ndio anafeliNi kweli, season 2 mvuto umepungua.
Kweli nimeamini mwenye njaa ndio aliyesema uyoga unanoga kama nyamaPrison Break SO3 Done.
1 Prison break = 100,000 Jackals
Halafu mtoto mzuriMie mpaka sasa naona sijui kwanini hamgongi neagley hapo ndio anafeli
Kabisa 😃Halafu mtoto mzuri
Exactly 💯 brother hii series kalii sanaKila eoisode moja kwenye wrong side of tracks ina saa moja na dakika kadhaa. Kwa quality ya 720p zina angalau MB 400 KWA KILA EPISODE. halafu quality nzurii l. Naweza sema hawa wanao tuletea episodes zina dakika 39 halafu kwa kila episode ina MB 360 MPAKA 400 wanatuibia. Halafu wamachanganya na ushoga ndani yake.
Hii wrong side of tracks nimeipenda sana. haina mkong'oto ila imekaa kifamilia zaidi na changamoto za hapa na pale za vijana wanao balehe
Kuna mtu anapiga paipu hapo na anaona ni wa kawaidaHuyu mtoto 😎🥰
View attachment 3199001
Naona mzee umekua obsessed na huyu bidadaHuyu mtoto 😎🥰
View attachment 3199001
Mtamu sana huyu shepu ipo Kila kitu quality 😃 ipo juuuNaona mzee umekua obsessed na huyu bidada
😀😃😃😃 Nikipata wa hivi sitoki nje kaka Hawa watoto wa black wazuri SanaKuna mtu anapiga paipu hapo na anaona ni wa kawaida
Yule 001 wangeishi nae mapema sanaView attachment 3199065
View attachment 3199066
View attachment 3199067
View attachment 3199068
Hawa player wangekuwepo kwenye Squid game, basi asingekufa hata mtu mmoja, hela zote wangechukua bila kucheza game lolote na mmiliki wa game wangemteka kisha wakaenda kumuua kwa maumivu makali sana😇
Lini inatoka tena..Mwamba anawasalimia
View attachment 3198556