Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Shadow of bone umeicheki na hizihouse of dragon nimeinasa kabla haijatoka
Ragnarok
The wheel of time
Marco polo
The letter of the king
Cursed
Shadows hunters
The sandman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shadow of bone umeicheki na hizihouse of dragon nimeinasa kabla haijatoka
hizo zote nime ziangalia kidogo mda sana zilivyo kuwa mpya mpya nikaona hamna content humo nikaziacha we subiri ije hii a knight of the seven kingdoms utaona balaa lake au kaicheki trailer YouTubeShadow of bone umeicheki na hizi
Ragnarok
The wheel of time
Marco polo
The letter of the king
Cursed
Shadows hunters
The sandman
Ok bosi subiria the night agent tarehe 23hizo zote nime ziangalia kidogo mda sana zilivyo kuwa mpya mpya nikaona hamna content humo nikaziacha we subiri ije hii a knight of the seven kingdoms utaona balaa lake au kaicheki trailer YouTube
Hii series iko vizuri sana nimeipenda ni moja ya series za Netflix ambayo haina scene yoyote ya Sex. Kuna vipande vichache tu vya kisses.Kazi hii fujo sana humu Cc Carleen Mr Q if cap fits
Cowboy 🤠 series hii ni hatari sana
View attachment 3200749
Exactly 💯 series kalii sana hii 🔥 🔥 😎Hii series iko vizuri sana nimeipenda ni moja ya series za Netflix ambayo haina scene yoyote ya Sex. Kuna vipande vichache tu vya kisses.
Nimesoma comment mtandaoni kadhaa wanadai inaweza isiwe na season two. Na kwa namna ilivo season one imekamilika sana.
Hii inaupande hasi sana wa dini waliotumia kuenezea dini.
Shukrani sana mkuu karibu sanaView attachment 3201846
Huyu demu kwenye American primeval huruma ilimponza kumhurumia yule dogo wa kifaransa, matokeo yake akaishia kuliwa mzigo na muhuni.
Aliye recommend hii series apewe maua yake
Huyu Sara tatizo sio mwerekevu.View attachment 3201846
Huyu demu kwenye American primeval huruma ilimponza kumhurumia yule dogo wa kifaransa, matokeo yake akaishia kuliwa mzigo na muhuni.
Aliye recommend hii series apewe maua yake
Mwanzoni pale wana bargain kununua farasi akaleta makuzi, ila Isack aka solve tatizo, yeye hakujifunza akarudia kwa wale wafaransa sasa hapo akakiponza kitumbua chakeHuyu Sara tatizo sio mwerekevu.
Kutokusikia kwake kume wacost kama mara mbili hivi.
Ahsante na hongera sana Vincenzo Jr.
Ilimpa wenge sana na roho ya kikatili ilimjaa sana.Mwanzoni pale wana bargain kununua farasi akaleta makuzi, ila Isack aka solve tatizo, yeye hakujifunza akarudia kwa wale wafaransa sasa hapo akakiponza kitumbua chake
Pamoja sana ndugu yanguHuyu Sara tatizo sio mwerekevu.
Kutokusikia kwake kume wacost kama mara mbili hivi.
Ahsante na hongera sana Vincenzo Jr.
Duuuh ngoja niishushe aisee, hizo rating ni za game of thrones kabisa😀9.2 mkuu
Hukawahi kuicheki aisee ni kalii sana pitia hata hapa imdb Band of Brothers: Wir waren wie Brüder (TV Mini Series 2001) ⭐ 9.4 | Action, Drama, HistoryDuuuh ngoja niishushe aisee, hizo rating ni za game of thrones kabisa😀
Ndo nainyonya kwa sasa taratibu, haya macho hadi yakome[emoji1][emoji1]Kazi hii fujo sana humu Cc Carleen Mr Q if cap fits
Cowboy [emoji1783] series hii ni hatari sana
View attachment 3200749
Hii naiweka kiporo, lazima nipite nayo Vincenzo Jr:View attachment 3201847
Ukachero wa humu ndani sio powa
Nenda nayo taratibu boss wangu hiyo ni kazi kwelikweliHii The Agency nimepita na Episode ya kwanza ila sijaielewa kabisa.
Ni kama wanaleta Mambo za Love story.
Ngoja tuone.Nenda nayo taratibu boss wangu hiyo ni kazi kwelikweli
Mkuu K ni kila kitu😅😅, tusiichukulie poa kabisa mbususu a.k.a punani ndo chanzo cha sisi kula kwa jashoNgoja tuone.
Sema wamenikata mzuka sana na zile song zao mara sijui Love is blindness, daaaah. Ni kama wanatuonesha Destination ya series kabla hata series haijachanganya.
Kwamba ni kama mwamba anaenda kuharibu kazi ya ukachero, Ujasusi, Ushushushu kisa K.