Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mademu wa aina hiyo ndio Huwa na joto sana 😎😍Huyu alikua na pepo la ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mademu wa aina hiyo ndio Huwa na joto sana 😎😍Huyu alikua na pepo la ngono
Dubbed IPO kakaLugha kikwazo
Link tafadhaliDubbed IPO kaka
Umepitwaje na series kali hio mkuuIna sesons ngapi mpaka sasa
Niliifuatilia zamani mkuu.Umepitwaje na series kali hio mkuu
Nashauri ziwekewe highlights kidogo ili atakae vutiwa nazo akaangalie ,jina pekee linaweza lisitoshe kumfanya mtu kupenda jina la seriesNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Na wamemla kwelikweli[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2] Huyu anapenda sana kugawa utamu
Revolution waliicancel sijui kwaniniSeries ambazo zimewahi nikosha sana
1. White collar
Series hii namhusu Neal Caffrey (Matt Bomer), mwizi mwenye ujanja na mtaalamu wa kufanyiza vibandi, ambaye anashirikiana na Peter Burke (Tim DeKay), mpelelezi wa FBI aliyemkamata. Baada ya kukimbia gerezani kumtafuta mpenzi wake, Kate (Alexandra Daddario), Neal anapata mkataba wa kusaidia FBI kukamata wahalifu wenzake kwa kubadilishana uhuru wake . Ushirikiano wao hauna mwiko: Peter anajaribu kumfanya Neal kuwa mtu mzuri, huku Neal akitumia nafasi hiyo kufichua siri za kifo cha Kate na kufuata "sanduku la muziki" lenye hazina ya Vita vya Kidunia vya pili .
2. Person of interest
"Person of Interest" ni series inayomhusu mtaalamu wa kompyuta Harold Finch na mtu wa zamani wa kikosi maalum cha CIA John Reese wanaounda timu ya kufichua uhalifu. Wanaotumia utabiri wa kompyuta kwa mfumo aliounda finch kuzuia uhalifu kabla haijatokea. Wakati wanakabiliana na matatizo na maadui wa ndani, wanabaini mpango wa kisiri wa serikali, mashirika ya ujasusi, na makundi ya uovu wenye lengo la kuingilia faraghaza watu na kuathiri usalama wa taifa, na maswala ya kibinafsi wakati wanapigania haki na usalama wa umma.
3. Revolution
Series ya Revolution ni hadithi inayofuata maisha ya familia ya Matheson baada ya dunia kukumbwa na matatizo ya kimuundo ambayo inasababisha kutokuwepo kwa umeme. Baada ya miaka kumi na tano ya kukosekana kwa umeme, familia hiyo inagundua kwamba binti yao, Charlie Matheson, anamiliki kipande muhimu cha ufunguo wa kurejesha umeme duniani.
Kupitia safari yao ya kutafuta majibu na kupigana na serikali ya kimabavu inayotawala, familia ya Matheson inakabiliana na hatari kubwa na kukutana na watu mbalimbali wanaopigania uhuru. Wanakutana na mashujaa na maadui, na wanazingatia kufufua utaratibu wa kawaida duniani.
Chini ni series ambazo hazikuwa kunivutia kulingana na muendelezo wa maudhui kuwa mrefu sana kulinganisha na tamthilia nyingine zenye maudhui ya kufanana,mission kukamilika baada/.wisho wa series ingawa idea za movie ni nzuri lakini hazikunivutiq
1. Prison break
2. Money heist
Hizo nimeziona zote kasoro hiyo White Collar.Series ambazo zimewahi nikosha sana

Yeah waliicancel. Investment walioiweka na mapato hayakua sawa. Kipindi kile kulikua hakuna platforms/wapenzi wengi wa series tofauti na sasa. Ila ni bonge moja la series.Revolution waliicancel sijui kwanini
Hii Tyrant nayo ina season 2 za moto sana.Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Kabisa mtoto mtamu yule😎Na wamemla kwelikweli
TTCL WAPO vizuri sana ila Kuna siku Huwa wanazingua mnoLeo TITISIELO wanajifanya wamefungulia speed inagika hadi 4MView attachment 3230307