Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kuna kipindi thee Weeknd alikagonga hakoNilihisi tu ile asili itakua ya Spain. Mwamba wake ndo hapendelei demu mwenye vinyweleo dah! Ila wazungu bhana 😂🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi thee Weeknd alikagonga hakoNilihisi tu ile asili itakua ya Spain. Mwamba wake ndo hapendelei demu mwenye vinyweleo dah! Ila wazungu bhana 😂🙌
Mkuu naomba maujanja ya ku-download movie.Kazi imeanza View attachment 3236806
Unataka muvi gani?Mkuu naomba maujanja ya ku-download movie.
Kwanza nahitaji kujua namna ya ku-download kwa simu ama PC.Unataka muvi gani?
Consider it done
First things first.Kwanza nahitaji kujua namna ya ku-download kwa simu ama PC.
Kwa sasa nahitaji hii TV Show ya kitambo.View attachment 3237025
Nilikuwa naweza kucheza na utorrent, ila kule the piratesbay na hata kwenye search ya torrentz vimekuwa magumashi miaka hii kukubali kukupa movie kirahisi.First things first.
1. Ili udownload movie lazima uwe na website yenye collection ya movie kama hii MoviesMod | Movies Mod 2025, MoviesMod Official, MoviesMod.how
2. Au application ambayo ina collectio ya movies kama hiiView attachment 3237027
3. Au hii µTorrent®- Torrent Downloader - Apps on Google Play kwa ajili ya torrebt movies.
4. Uwe na jina la muvi unayo itaka. Tembelea vyombo hapo juu uitafute ukiipata bonyeza sehemu iliyo andikwa download.
Tumia link nilio kuwekea hapo juu. Yafaa uwe na browser inaitwa brave ili ikusaidie ku cancel pop ups na matangazotangazoNilikuwa naweza kucheza na utorrent, ila kule the piratesbay na hata kwenye search ya torrentz vimekuwa magumashi miaka hii kukubali kukupa movie kirahisi.
Sio kweli mbona Mimi nashusha vizuri tu movie na series tumia basi torrent hii MagnetDL - Search and Download Verified TorrentsNilikuwa naweza kucheza na utorrent, ila kule the piratesbay na hata kwenye search ya torrentz vimekuwa magumashi miaka hii kukubali kukupa movie kirahisi.
Hii mbona namwona bourne aki act kama jambaka?
😃😃😄😀Wanapigana kwenye ndege hii Kuna hitman humu😀Hii mbona namwona bourne aki act kama jambaka?
Mtandao gani. Sh ngapi kwa.mweziDah! , unlimited yangu inaisha Leo 🥺
TTCL faiba ELFU 55 nachanga na wadau kama 4 hivi kakaMtandao gani. Sh ngapi kwa.mwezi
Hii nzuri.TTCL faiba ELFU 55 nachanga na wadau kama 4 hivi kaka
Sana sema ndio hivyo jamaa wanazingua sana siku network yao ikicheza hapo mwanzo nilikuwa na AirTel router BAADA ya kupata majanga nikaaachana nao bili yao ya 70k ni parefu sana Kwa SasaHii nzuri.
Hii ni ofisini au hadi nyumbani wanafunga hawa jamaa?Sana sema ndio hivyo jamaa wanazingua sana siku network yao ikicheza hapo mwanzo nilikuwa na AirTel router BAADA ya kupata majanga nikaaachana nao bili yao ya 70k ni parefu sana Kwa Sasa
now ndio nimerudi nyumbani kumenoga
Hadi nyumbani kakaHii ni ofisini au hadi nyumbani wanafunga hawa jamaa?
Ukiwa na smart tv ni ku stream tu yaniHadi nyumbani kaka