Series (Special thread)

Series (Special thread)

Unataka muvi gani?
Kwanza nahitaji kujua namna ya ku-download kwa simu ama PC.

Kwa sasa nahitaji hii TV Show ya kitambo.
Journey_to_the_West_(1986_TV_series).jpg
 
Kwanza nahitaji kujua namna ya ku-download kwa simu ama PC.

Kwa sasa nahitaji hii TV Show ya kitambo.View attachment 3237025
First things first.
1. Ili udownload movie lazima uwe na website yenye collection ya movie kama hii MoviesMod | Movies Mod 2025, MoviesMod Official, MoviesMod.how
2. Au application ambayo ina collectio ya movies kama hii
Screenshot_20250215-154512.png

3. Au hii µTorrent®- Torrent Downloader - Apps on Google Play kwa ajili ya torrebt movies.

4. Uwe na jina la muvi unayo itaka. Tembelea vyombo hapo juu uitafute ukiipata bonyeza sehemu iliyo andikwa download.
 
First things first.
1. Ili udownload movie lazima uwe na website yenye collection ya movie kama hii MoviesMod | Movies Mod 2025, MoviesMod Official, MoviesMod.how
2. Au application ambayo ina collectio ya movies kama hiiView attachment 3237027
3. Au hii µTorrent®- Torrent Downloader - Apps on Google Play kwa ajili ya torrebt movies.

4. Uwe na jina la muvi unayo itaka. Tembelea vyombo hapo juu uitafute ukiipata bonyeza sehemu iliyo andikwa download.
Nilikuwa naweza kucheza na utorrent, ila kule the piratesbay na hata kwenye search ya torrentz vimekuwa magumashi miaka hii kukubali kukupa movie kirahisi.
 
Sana sema ndio hivyo jamaa wanazingua sana siku network yao ikicheza hapo mwanzo nilikuwa na AirTel router BAADA ya kupata majanga nikaaachana nao bili yao ya 70k ni parefu sana Kwa Sasa
now ndio nimerudi nyumbani kumenoga
Hii ni ofisini au hadi nyumbani wanafunga hawa jamaa?
 
Back
Top Bottom