Series (Special thread)

Series (Special thread)

ππ‘π„π€πŠπˆππ†: The Last of us (Series) - Inaachiwa Online Aprili 13-2025
20250220_014413.jpg
 
Hii mie niliitazama Toka 2012 huko πŸ˜ƒ
Pole mkongwe. Mimi ndio natambaa nayo saa hii.
Nipo season 1 episode ya 2, chuma imenyooka, Sci-Fi, Intelligence, actions πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.
Haya madude ya kitambo ni yamoto sana, pia yana episode za kutosha, hayana wizi kama tunaofanyiwa siku hizi, eti season 1 episode 6 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Siku hizi tunaibiwa sana.
 
Wadau wangu wa nguvu nataka zaga lenye brutal killings yani brutality ya kutosha mpaka moyo uniume. Kazi kzi bila huruma
 
Back
Top Bottom