Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Unatumia kifaa gani kuangalizia mku
Kwangu mimi hii 720p naona inanitosha. Zipo movies huwa nalazimika kuzichukua kwa 1080p kama zile za jason statham, john wick zote, bourne zote, the jack yote. Yani watu wawe wameumiza vichwa haswa ndio muvi au series yake nitaichukua kwa quality ya juu zaidi ya hapo
u 😁😁Daah mnawezaje kuangalia movie kwa resolution ya kawaida hvyo..
Mm huwa navizia WIFI ya ofisini na kupakua movie zenye Quality ya juu sana
Unakuta episode moja tu ina MB 700 na kuendelea