Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri kias chake😄😀😀Mie sija anza
Ngoja Leo niichekiNzuri kias chake
Ndo nimemaliza kuicheki ni nzuriHEART EYES hii singo itafuteni
Kuna hizi kaka
Hii kuna mtu pia alishawahi kuniambia kuwa miongoni mwa the best tv show twistBehind Her Eyes
Samahani kama ntakuwa nimefanya spoilers kwa ambao hawapendi wajue kama movie ina plot twist 😁😁😁Hii kuna mtu pia alishawahi kuniambia kuwa miongoni mwa the best tv show twist
Spoiler alert mkuu wengine hatujaiona 😁😁Alichokuwa anafanya devi kwenye behind her eyes hata ningekuwa Mimi ningekuwa nafanya yaani mtoto mtamu louise kama yule wewe una muacha vipi aisee 😀
Exactly 💯 brother ni series kalii sana 🔥Hii kuna mtu pia alishawahi kuniambia kuwa miongoni mwa the best tv show twist
NdioDeep state waliicancel nini?
Ile ya kwanza mdogo mtu alikuwa anauliza, wahasibu kazi yao ni kucheza na namba tu, sasa inakuwaje mhasibu huyu awe ni kisiki namna hii.
Tafuta the big bang theory mkuuNipeni series Kali sana ya COMEDY....
Ya kupasua ,kusaga na kuvunja mbavu
[emoji846][emoji846]