Series (Special thread)

Series (Special thread)

images (8).jpeg


Hili jamaa linabonda!!!

Wajapoo hawapo nyuma sana kwenye matambala ya mkong'oto.
 
Bado parefu mkuu. Site kama nkiri.com ndio MB chache kabisa unaruka na mzigo.
Vincenzo Jr unataka kituuzia mbuzi kwenye gunia 😄😄 unatuambia iyo site ina mb nafuu kama nkiri ila sasa naingia nakutana na episode moja ina MB 200+

Kwasisi wazee wa nkiri tuliozoea mb 90, 80, 70 mpaka 60 per episode kwakweli hapo hatutokuelewa 😄
 
Back
Top Bottom