Series: The Day of Jackal. Ni ya moto sana

msengerema ndo alipakua kisamvu ili atimize mission yake. Hii scene iliharibu kila kitu msengerema alinichefua sana yule.
Mii niliona angezingua kama yeye ndo angepakuliwa mkuu ..

Ila kwa kuwa yeye ndo kapakua nampa vyeo mkuuu
 
Vishu Mtata kuna mzigo mwingine unaitwaje zijui ila star ni mniga soijui unaijua..
Inaanza jamaa anatumia binduki alafu pia adui yeye ana gari flan hvi kali
 
Kumbe tupo wengi niliona wanarukiana kwenye kochi nikaona Hawa vipi kumbe kumekucha
 
Nilichogundua hizi series karibu zote zina vipande vya ushoga/usagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…