Series: The Day of Jackal. Ni ya moto sana

Series: The Day of Jackal. Ni ya moto sana

The Day of the Jackal
2024 ‧ Thriller ‧ 1 season

Muhtasari
Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa ya mwisho kumleta kwa haki. Katika mfululizo huu wa vipindi, Jackal anapambana na mafanikio ya kazi yake, huku akifuatiliwa na afisa wa ujasusi wa Uingereza, Bianca, ambaye anajitahidi kumwinda na kumdhibiti.

Vipindi

E10 · Kipindi cha 10
Tarehe 11 Disemba 2024
Mtu anayetafutwa, Jackal, anakuwa katika harakati za kutoroka na ni mwepesi kurejea kwa Nuria, lakini Bianca anapewa nafasi moja ya mwisho kumleta kwa haki.

E09 · Kipindi cha 9

Tarehe 4 Disemba 2024
Kutolewa kwa River kunakaribia, UDC anaamini yuko salama kwenye kisiwa chake cha Kroatia; huku wakati ukiisha, Jackal lazima atumie ujuzi wake wote kufikia lengo lake.

E08 · Kipindi cha 8

Tarehe 28 Novemba 2024
Baada ya machafuko huko Tallinn, Jackal anaenda kujificha; Bianca anachunguza historia ya "Duggan," akichunguza kipindi chake cha Afghanistan kwa matumaini ya kupata uongozi mpya.

E07 · Kipindi cha 7

Tarehe 21 Novemba 2024
Jackal na Bianca wote wanatua Tallinn kutarajia tangazo la UDC; huku eneo likiwa limefungwa na Bianca akikaribia, Jackal lazima atumie ujanja wake wote akijiandaa kupiga risasi.

E06 · Kipindi cha 6

Tarehe 14 Novemba 2024
Baada ya kupigana na Bianca, Jackal lazima apige hatua na kujiandaa kwa shambulizi lake kwa Ulle Dag Charles; Bianca anafuatilia uharibifu wake kupitia Ulaya ya Kati.

E05 · Kipindi cha 5

Tarehe 7 Novemba 2024
Jackal anatembelea Norman kwa agizo maalum kwa kazi yake inayofuata, lakini kwa Bianca pia akifuatilia Norman, anakaribia kumfikia.

E04 · Kipindi cha 4
Tarehe 7 Novemba 2024
Akiwa ameshapata kisasi, Jackal anatoroka Munich na kujaribu kutuliza mashaka ya Nuria; Bianca anafuata uongozi mpya katika uwindaji wake.

E03 · Kipindi cha 3

Tarehe 7 Novemba 2024
Akiwa na ujuzi wa utambulisho wa mteja wake mharibifu, Jackal anamfuata hadi Munich, akiwa na azma ya kulipiza kisasi.

E02 · Kipindi cha 2

Tarehe 7 Novemba 2024
Mteja wake wa zamani akiondoa malipo, sifa ya Jackal ipo hatarini, na anaanza kupanga kisasi chake.

E01 · Kipindi cha 1

Tarehe 7 Novemba 2024
Muuaji mtaalamu, Jackal, anapotekeleza mauaji yake ya hivi karibuni, anavuta umakini wa afisa wa ujasusi wa Uingereza, ambaye anaanza kumwinda.

E10 · Episode 10

11 Dec 2024
A wanted man, the Jackal is on the run and desperate to get back to Nuria, but Bianca is given one last shot to bring him to justice.

E09 · Episode 9

4 Dec 2024
With the release of River imminent, UDC believes himself safe on his Croatian island; with time running out, the Jackal must use all his skills to reach his target.

E08 · Episode 8

28 Nov 2024
Following the chaos in Tallinn, the Jackal goes into hiding; Bianca digs into the past of the mysterious "Duggan," investigating his time in Afghanistan in the hope of a new lead.

E07 · Episode 7

21 Nov 2024
The Jackal and Bianca both descend on Tallinn in anticipation of UDC's announcement; with the venue in lockdown and Bianca closing in, the Jackal must use all his wiles as he prepares to take his shot.

E06 · Episode 6
14 Nov 2024
Following his shoot-out with Bianca, the Jackal must escape his captors and regroup ahead of his hit on Ulle Dag Charles; Bianca tracks his trail of devastation through central Europe.

E05 · Episode 5
7 Nov 2024
The Jackal visits Norman with a special commission for his next job, but with Bianca also tracking Norman down, she closes in on him.

E04 · Episode 4
7 Nov 2024
With his vengeance fulfilled, the Jackal flees Munich and tries to quell Nuria's suspicions; Bianca follows a new lead in her hunt.

E03 · Episode 3

7 Nov 2024
Armed with the knowledge of his wayward client's identity, the Jackal tracks him down in Munich, determined to settle the score.

E02 · Episode 2

7 Nov 2024
With his previous client backing out of payment, the Jackal's reputation is on the line, and he starts to plot his revenge.

E01 · Episode 1

7 Nov 2024
When an elite assassin, the Jackal, carries out his latest kill, it catches the attention of a British intelligence officer, who starts hunting him down.
Kila nikifungua nainagalie movie yyt akili inaniambia kwanini usisome topic yyte uongeze maarifa,inanikuta movie or episode ya dk 45 naangalia wk mzima vipande vipande
 
Shida yenu ni ku-share links, hapo ndio zinapofungwa.

Mradi una unlimited data nina link ya kuangalia sinema unayoijua wewe, ata ikitoka kesho.

Na za zamani zote, kama ni mgonjwa wa TV series na cinema.

Kuna jamaa nilimpa humu link yangu ya sport ambayo miaka karibu saba naangalia kwa furaha. Six month later japo inapatikana kuona sio rahisi vile.

Vizuri kula na nduguzo nina link ya sinema na TV series hiyo balaa. Filamu mpya naangalia bure.

Nitajie cinema mpya nikupigie picha.
Mkuu umeshatazama the night agent?
 
Hapana

Ni story inahusu nini? Niitafute baadae.
While monitoring an emergency line, an FBI agent answers a call that plunges him into a deadly conspiracy involving a mole at the White House.

Itazame ni nzuri utakapoanza kuitazama hutaacha mpaka episode ya mwisho ya 10.
 
Shukran

Premise yake inaonekana ni interesting.

🙏🙏🙏
 
Yes mkuu, yani ni ile unatazama mwanzo mwisho hujui mole ni nani, unayemhisi ndiye kumbe siye. Na mambo yanaongezeka kila wakati... mkuu itazame halafu utakuja kuniambia.
I will, inaonekana nzuri.

Matter of fact ngoja nianze kuitafuta episode 1 sasa hivi.

Thanks again
 
poa mkuu utanipa feedback
Baada ya kutazama episode mbili naipa 5/10 ni nzuri kwa wengine (naona ina fan base yake kwenye review), but not my cup of tea.

Too much fictional for my dislike; on similar genre napendelea vitu kama ‘słów horses’ series one; that I can binge on two days mpaka nimalize.

Zaidi ni kwa sababu pia msomaji wa vitabu vilivyoandikwa na senior intelligent officers and other spies, naangalia real life stories za documentaries za traitors, spies, missions za serikali and so forth.

Sasa series ikianza watu wawili wanauliwa (uncle na aunt), wanatoa number ya simu Ikulu, chief of staff hajui walikuwa na mission gani, aliekuwa anajua labda FBI director wa Ikulu kauliwa ndani ya episode two, wauaji wenyewe sura zipo hotelini (at this point unategemea senior official FBI na CIA waingilie kati, media wawe interested na what’s going on).

Inabidi nimalizie series kwa sababu nishaanza kuangalia, but too fictional and action packed to my disliking.

If anything binti mwenyewe wanaemsaka hajui in depth kwanini uncle na auntie wake waliuliwa, yaani anaonekana kwenda kufahamu as the series evolve, so why look for her in the first place.
 
Baada ya kutazama episode mbili naipa 5/10 ni nzuri kwa wengine (naona ina fan base yake kwenye review), but not my cup of tea.

Too much fictional for my dislike; on similar genre napendelea vitu kama ‘słów horses’ series one; that I can binge on two days mpaka nimalize.

Zaidi ni kwa sababu pia msomaji wa vitabu vilivyoandikwa na senior intelligent officers and other spies, naangalia real life stories za documentaries za traitors, spies, missions za serikali and so forth.

Sasa series ikianza watu wawili wanauliwa (uncle na aunt), wanatoa number ya simu Ikulu, chief of staff hajui walikuwa na mission gani, aliekuwa anajua labda FBI director wa Ikulu kauliwa ndani ya episode two, wauaji wenyewe sura zipo hotelini (at this point unategemea senior official FBI na CIA waingilie kati, media wawe interested na what’s going on).

Inabidi nimalizie series kwa sababu nishaanza kuangalia, but too fictional and action packed to my disliking.
Kweli kila mtu ana taste yake... Ile day of the jackal niliipenda sana na ndiyo imenifanya nimerudi kutazama series sikuwa nimetazama series yoyote toka GOT ilipoisha wewe ndo umenirudisha.
Yah ina fictional nyingi ndani yake. Nipendekezee series nzuri nayoweza kuangalia kama ile ya the day of the jackal style hizo.
 
Angalia ‘slow horses’ mi sio mtu wa series sana, ni mtu cinema (sio zote some genres), documentaries (nature and real life stories) na vitabu.
 
Angalia ‘slow horses’ mi sio mtu wa series sana, ni mtu cinema (sio zote some genres), documentaries (nature and real life stories) na vitabu.
sasa mimi natazama sana documentaries mkuu saaana. Na crime and investigation hata movie na series si sana yani nilikuwa nina miaka nimetazama series toka iishe GOT wewe ulivyopost the day of the jackal ndo nikarudi kutazama series. ngoja niishushe hii nione mkuu.
 
Thread imeanzishwa na Swahili AI mkuu sio mimi. Yeye ndio kaweka hiyo series sio mimi.

Other enjoy ‘slow horses’ ni tofauti na hizi yenyewe sio action packed but very interesting ukianza hiyo utaki kuacha mpaka uone mwisho wake series 1.

Good afternoon
 
Slow horses nishamaliza kuteremsha season 1 yote ntaianza saa 12 nikiwa nimepumzika.
1737381025861.png
 
Slow horses nishamaliza kuteremsha season 1 yote ntaianza saa 12 nikiwa nimepumzika.
View attachment 3207580
Enjoy it

Unaweza pata vitabu (pdf) nije private tufanye biashara nina list ya vitabu kadhaa (academic books).

Kama ufanyi kazi ya kanisa no worries tutaongea bei (private). Kule kwenye siasa toka CCM wafanye udwanzi jana bora nitumie my free time kujisomea tu na kutafuta hela.
 
Enjoy it

Unaweza pata vitabu (pdf) nije private tufanye biashara nina list ya vitabu kadhaa (academic books).

Kama ufanyi kazi ya kanisa no worries tutaongea bei. Kule kwenye siasa toka CCM wafanye udwanzi jana bora nitumie my free time kujisomea tu na kutafuta hela.
Ngoja nitakutumia list yangu mkuu nikifika home. Nitakutumia list ya vitabu kama unavyo tuzungumze biashara
 
Ngoja nitakutumia list yangu mkuu nikifika home. Nitakutumia list ya vitabu kama unavyo tuzungumze biashara
Mimi nataka vitabu na wewe unataka vitabu maana yake wote hatuna mbinu ya kuvipata basi yaishe.

Sijui NJAAKALI alipotolea mods wametukosea sana kumfungia jamaa. Ilikuwa kitabu chochote unapata kwake.
 
Mimi nataka vitabu na wewe unataka vitabu maana yake wote hatuna mbinu ya kuvipata basi yaishe.

Sijui NJAAKALI alipotolea mods wametukosea sana kumfungia jamaa. Ilikuwa kitabu chochote unapata kwake.
Kitabu gani unataka nije nikuchekie kwenye library fulani online kama kitakuwepo
 
Kitabu gani unataka nije nikuchekie kwenye library fulani online kama kitakuwepo
Vipo kadhaa kiongozi ila unaweza angalia hivyo viwili, kwanza.

Frederic S. Mishkin: The Economics of Money, Banking, and Financial Markets, 13th ed., Pearson.

R. Glen Hubbard, Anthony Patrick O’Brien, Money, Banking, and the Financial System, 2nd edition, Pearson.

Ukipata vyote sawa au hata kimoja poa any edition will do.
 
Back
Top Bottom