Series: The Day of Jackal. Ni ya moto sana

Kila nikifungua nainagalie movie yyt akili inaniambia kwanini usisome topic yyte uongeze maarifa,inanikuta movie or episode ya dk 45 naangalia wk mzima vipande vipande
 
Mkuu umeshatazama the night agent?
 
Hapana

Ni story inahusu nini? Niitafute baadae.
While monitoring an emergency line, an FBI agent answers a call that plunges him into a deadly conspiracy involving a mole at the White House.

Itazame ni nzuri utakapoanza kuitazama hutaacha mpaka episode ya mwisho ya 10.
 
Shukran

Premise yake inaonekana ni interesting.

🙏🙏🙏
 
Yes mkuu, yani ni ile unatazama mwanzo mwisho hujui mole ni nani, unayemhisi ndiye kumbe siye. Na mambo yanaongezeka kila wakati... mkuu itazame halafu utakuja kuniambia.
I will, inaonekana nzuri.

Matter of fact ngoja nianze kuitafuta episode 1 sasa hivi.

Thanks again
 
poa mkuu utanipa feedback
Baada ya kutazama episode mbili naipa 5/10 ni nzuri kwa wengine (naona ina fan base yake kwenye review), but not my cup of tea.

Too much fictional for my dislike; on similar genre napendelea vitu kama ‘słów horses’ series one; that I can binge on two days mpaka nimalize.

Zaidi ni kwa sababu pia msomaji wa vitabu vilivyoandikwa na senior intelligent officers and other spies, naangalia real life stories za documentaries za traitors, spies, missions za serikali and so forth.

Sasa series ikianza watu wawili wanauliwa (uncle na aunt), wanatoa number ya simu Ikulu, chief of staff hajui walikuwa na mission gani, aliekuwa anajua labda FBI director wa Ikulu kauliwa ndani ya episode two, wauaji wenyewe sura zipo hotelini (at this point unategemea senior official FBI na CIA waingilie kati, media wawe interested na what’s going on).

Inabidi nimalizie series kwa sababu nishaanza kuangalia, but too fictional and action packed to my disliking.

If anything binti mwenyewe wanaemsaka hajui in depth kwanini uncle na auntie wake waliuliwa, yaani anaonekana kwenda kufahamu as the series evolve, so why look for her in the first place.
 
Kweli kila mtu ana taste yake... Ile day of the jackal niliipenda sana na ndiyo imenifanya nimerudi kutazama series sikuwa nimetazama series yoyote toka GOT ilipoisha wewe ndo umenirudisha.
Yah ina fictional nyingi ndani yake. Nipendekezee series nzuri nayoweza kuangalia kama ile ya the day of the jackal style hizo.
 
Angalia ‘slow horses’ mi sio mtu wa series sana, ni mtu cinema (sio zote some genres), documentaries (nature and real life stories) na vitabu.
 
Angalia ‘slow horses’ mi sio mtu wa series sana, ni mtu cinema (sio zote some genres), documentaries (nature and real life stories) na vitabu.
sasa mimi natazama sana documentaries mkuu saaana. Na crime and investigation hata movie na series si sana yani nilikuwa nina miaka nimetazama series toka iishe GOT wewe ulivyopost the day of the jackal ndo nikarudi kutazama series. ngoja niishushe hii nione mkuu.
 
Thread imeanzishwa na Swahili AI mkuu sio mimi. Yeye ndio kaweka hiyo series sio mimi.

Other enjoy ‘slow horses’ ni tofauti na hizi yenyewe sio action packed but very interesting ukianza hiyo utaki kuacha mpaka uone mwisho wake series 1.

Good afternoon
 
Slow horses nishamaliza kuteremsha season 1 yote ntaianza saa 12 nikiwa nimepumzika.
 
Slow horses nishamaliza kuteremsha season 1 yote ntaianza saa 12 nikiwa nimepumzika.
View attachment 3207580
Enjoy it

Unaweza pata vitabu (pdf) nije private tufanye biashara nina list ya vitabu kadhaa (academic books).

Kama ufanyi kazi ya kanisa no worries tutaongea bei (private). Kule kwenye siasa toka CCM wafanye udwanzi jana bora nitumie my free time kujisomea tu na kutafuta hela.
 
Ngoja nitakutumia list yangu mkuu nikifika home. Nitakutumia list ya vitabu kama unavyo tuzungumze biashara
 
Ngoja nitakutumia list yangu mkuu nikifika home. Nitakutumia list ya vitabu kama unavyo tuzungumze biashara
Mimi nataka vitabu na wewe unataka vitabu maana yake wote hatuna mbinu ya kuvipata basi yaishe.

Sijui NJAAKALI alipotolea mods wametukosea sana kumfungia jamaa. Ilikuwa kitabu chochote unapata kwake.
 
Mimi nataka vitabu na wewe unataka vitabu maana yake wote hatuna mbinu ya kuvipata basi yaishe.

Sijui NJAAKALI alipotolea mods wametukosea sana kumfungia jamaa. Ilikuwa kitabu chochote unapata kwake.
Kitabu gani unataka nije nikuchekie kwenye library fulani online kama kitakuwepo
 
Kitabu gani unataka nije nikuchekie kwenye library fulani online kama kitakuwepo
Vipo kadhaa kiongozi ila unaweza angalia hivyo viwili, kwanza.

Frederic S. Mishkin: The Economics of Money, Banking, and Financial Markets, 13th ed., Pearson.

R. Glen Hubbard, Anthony Patrick O’Brien, Money, Banking, and the Financial System, 2nd edition, Pearson.

Ukipata vyote sawa au hata kimoja poa any edition will do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…