Series zangu bora za muda wote

Mkuu inakuaje mfani umedownload movie kwenye simu au pc pamoja na subtitle zake, kwenye simu na pc zinaplay vizuri, ila ukiocopy movie kwenye flash ukaplay kwenye tv subtitle hazipo?
 
Mkuu inakuaje mfani umedownload movie kwenye simu au pc pamoja na subtitle zake, kwenye simu na pc zinaplay vizuri, ila ukiocopy movie kwenye flash ukaplay kwenye tv subtitle hazipo?
Ni smart TV au za kawaida tu!?. Nadhani Mafile yakiwa sehemu tofauti inakuwa tabu kwa baadhi ya TV kingine ni format ya TV yenyewe!..
 
Ni smart TV au za kawaida tu!?. Nadhani Mafile yakiwa sehemu tofauti inakuwa tabu kwa baadhi ya TV kingine ni format ya TV yenyewe!..
Na baadhi ya tv huwa na font mbaya ya subtitle
 
Guys.. nimemamliza kuicheki The Boys.. binafsi nimeipenda.
Nimependa sana Character ya Homelander japo ana roho mbaya ila ni mtu fulani anakuua yupo anatabasamu. Basi mm nafurahi sana gestures zake.mara anatbasamu mnaongea vizuri mara amechukia.
It's worth watching..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…