Series zangu bora za muda wote

Merlin (ni moto)
Legend of the seeker(baba lao😀 Confessor alinifanya niipende zaidi)
Blindspot
PB
Spartacus (japo sikuzimaliza)
Jumong na Iris (huwa siwapendi wakorea ila hapa niliwakubali)
Viking
Nikita (maggieQ namuelewaga sana)
 
we jamaa una uzee sana hizo series hapi got na p.break tu hizo zingine achana nazo, series ikishaonyeshwa itv hiyo sio kitu[emoji28] hilo ni igizo, list hii hapa sasa

.Breaking Bad
.Mindhunter
.Black Mirror
.The boys
.Stranger things
.The Sopranos
.The wire

for reference zifatilie imdb au rotten tomatoes, hizo ndio series za goons na movie gurus
 
ngebo,
Soprano na the wire nilikua nataka niziweke kwenye orodha
 
Paul T Scheuring ndio usahihi wake.

It's my best series of all time
 
Ila kiukweli siku hizi series sizielewagi kabisa. Hizi zinazotoka siku hizi.

Zisizo na mkono niliipendaga If loving youl's wrong
 
Hii ntaitafuta
Ukiicheki urudi unipe Tip.. maana ni nzuri mno. Akili nyingi zinatumika..mabeberu wanamuwinda raisi hadi watu wa idara ya kumlinda raisi wanamuwinda. Han tae kyong mtoto wa waziri wa fedha kama sijasahau ndio anahakikisha VIP yuko safe baada ya viongozi wa team ya kumlinda VIP kutaka kumuua raisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…