Series zangu bora za muda wote

Kabisaaaaa
 
Mimi mwenyewe naitafuta hii nianze upya..
Angalia Designated survivor kama utaipenda
 
Mimi mwenyewe naitafuta hii nianze upya..
Angalia Designated survivor kama utaipenda
 
Huyu si yule mfungwa alokuwa hapatani na Michel rodriguez (dem wa vin diesel kwenye fast furious)?..
Kwenye Lost series jamaa mmoja hivi lilikuwa liongo na manipulative kinyama.
 
Aisee.. niko nacheki Empire. Kweli hawa majamaa walijipanga hii series, Naona wamemleta my blood rapper Juice J kupafomu..
Bado niko S1
 
17. Blindspot
yan katika series za kijinga hii ni mmoja wapo haina uhalisia kabisaa..ilinishinda.nilipakua complete seasons nikaangalia episode 3 hapo hapo nikaona ujinga nikazifutilia mbali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…