3. Nimeipenda jinsi matukio na yalivyopangiliwa kubwa zaidi nimependa kingereza walichotumia humu. Ni konkiii haswa kile cha zamani View attachment 1281908
michaelKwenye Lost series jamaa mmoja hivi lilikuwa liongo na manipulative kinyama.
Alikuwa the good guy, halafu kuna Father Ayeee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]michael
Movie hii nimeanza kiangalia toka 1999sijui nilimsahau vipi KUNTA dadeq!!!. Bonge la historical series. Huwa nahisi 12 years a slave waliiga hii kiaina!.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Grimmy
Ukiweka nakuwekea mbadala wake!..
Kipindi naiangalia ule usaliti wa humo niliwachukia sana wazungu!!..Movie hii nimeanza kiangalia toka 1999
Great show. Nimeiangalia kwa Mara ya kwanza 8 years ago.
Ila me sikuipenda sana aseh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Grimm alikuwa anaipenda ndugu yangu fulani hivi.
Is this worth the watch?6. Season 1-5View attachment 1282028
Hii enzi hizo nilikua naiangalia channel 10!..
Season 1-5 are the bestIs this worth the watch?
Huwa naipitaga tuu.