Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeiacha Breaking Bad list yako ni batili..
Paul T Scheuring ndio usahihi wake.Hii ni orodha ya series zangu bora za muda wote nilizowahi kuona..I assure you ukiziangalia hutajuta.
1. Prison Break
Akili kubwa imetumika kutengeneza series hii Wentworth Miller katumia vizuri nafasi aliyopewa acheze. Yoyote aliyewahi kuiona naimani anaipigia salute..Heshima kwake mtunzi wa series hii PAUL T STCHEULINGView attachment 1281898
It is second on my list as well2. 24 Hours
Keifer kaicheza vizuri sana muvi hii.. ukiangalia kwa makini utawaheshimu watu wa idara ya usalama jinsi wanavyokesha kuhakikisha Wananchi tunakua salama. Matukio mengi yanazimwa kimya kimya View attachment 1281905
Hakuna season 4.7. Wababe..wapenda muvi za mkongoto hapa ndio kwao japo s3 wamevuruga..
S4 is coming View attachment 1281917
Hii ntaitafuta11. 3 Days
Tamthilia ya kikorea kuhusu walinzi wa raisi wanavyo hakikisha raisi anakua salama at any cost
Hivi kweli hii ni nzuri kiasi hiki??Kama umeiacha Breaking Bad list yako ni batili..
Jamaa ni genius haswaAhsante kwa kunikosoa.. sijui nilikosea vipi.. ila jamaa ni bonge la genius
Ukiicheki urudi unipe Tip.. maana ni nzuri mno. Akili nyingi zinatumika..mabeberu wanamuwinda raisi hadi watu wa idara ya kumlinda raisi wanamuwinda. Han tae kyong mtoto wa waziri wa fedha kama sijasahau ndio anahakikisha VIP yuko safe baada ya viongozi wa team ya kumlinda VIP kutaka kumuua raisi..Hii ntaitafuta
Mwaka 2008/9 ndio nimeanza kuangalia hizi mambo, enzi hizo unaenda kodi/nunua cd sio download!!..Mkuu mpaka Orange County umeangalia?? Wewe kweli mtu wa series