Series zangu bora za muda wote

Series zangu bora za muda wote

Ni nzuri sana nianze kuicheki??
Ya mapenzi mkuu. Usaliti na kwanini usaliti hutokea,
Mwanamke ana mume goi goi kwenye bed. Kakutana na mwanasaikolojia wa kiniga anajua kucare + yuko vizuri.
Kilichotokea baadae hadi mimba ikawa balaa😀.
Kuna visa vingine pia. Ilikuwa poa kwangu inajumla ya season kama 5 hivi.
 
Ukiicheki urudi unipe Tip.. maana ni nzuri mno. Akili nyingi zinatumika..mabeberu wanamuwinda raisi hadi watu wa idara ya kumlinda raisi wanamuwinda. Han tae kyong mtoto wa waziri wa fedha kama sijasahau ndio anahakikisha VIP yuko safe baada ya viongozi wa team ya kumlinda VIP kutaka kumuua raisi..
Ntaitafuta soon, namalizia shooter bro. Namcheki Bob Lee swagger
 
Ya mapenzi mkuu. Usaliti na kwanini usaliti hutokea,
Mwanamke ana mume goi goi kwenye bed. Kakutana na mwanasaikolojia wa kiniga anajua kucare + yuko vizuri.
Kilichotokea baadae hadi mimba ikawa balaa😀.
Kuna visa vingine pia. Ilikuwa poa kwangu inajumla ya season kama 5 hivi.
Zote zipo kwenye external.. sema mm sipendi muvi zitakazo niumiza roho. Namoyo mwepesi
 
Yahusu nini..
Mji ulifunikwa na kitu kama glass, hakingiii kitu hakitoki kitu!..Serikali ya USA ikajaribu piga mpaka nuclear bao dude likahimili!!..
Its how people of different background have to survive inside the dome!.

damn umenikumbusha WAYWARD PINES!.
 
Unanitia tamaa tu...
 
Napenda kuangalia movie ila tatizo lugha maana huwa naishia kucheck vitendo basi sijui nifanyeje niweze kuelewa kinacho zungumzwa
Pakua subtitles kama huelewi kabisa kingereza tembelea library za DJ Mack atakupatia zilizotafsiriwa kwa kiswahili ila uvumilie Quality
 
Na mimi nimeiangalia OC nadhani 2010
Long time bro, enzi hizo kuna series flani ya mark dacascus anaongozwa na kunguru, ile series ya X file, ile series ya V (alien walikuja wakavaa ngozi kama binadam ila hawapatani na sulphur-njano), series ya The bold and the beautiful, The promise (Timy-mdoli unaoongea) enzi za ubora wa ITV!
 
Into the badlands
The legend of the seeker
Sinbad
 
Back
Top Bottom