Series zangu bora za muda wote

Series zangu bora za muda wote

Long time bro, enzi hizo kuna series flani ya mark dacascus anaongozwa na kunguru, ile series ya X file, ile series ya V (alien walikuja wakavaa ngozi kama binadam ila hawapatani na sulphur-njano), series ya The bold and the beautiful, The promise (Timy-mdoli unaoongea) enzi za ubora wa ITV!
Kabisaaaaa
 
View attachment 1281983
Nili-watch yote hadi ile ya Season 9
nimeirudia tena kwa sasa nipo
season 8 Episode 19(S9/E19)
Hii ndiyo namba 1 kwangu
napenda hizi mambo hasa kipindi cha David Palmer unaona kiongozi anavyopitia changamoto nyingi na bado yupo strong!
Kipindi cha Charles Logan nacho ni kama comedy nchi kuwa na Rais kama Logan

Iwapo kuna yenye story kama hii plz naombeni Jina ila isiwe ya kihindi/korea
sipendi series za korea na India (Asia) sijui kwa nini!
Mimi mwenyewe naitafuta hii nianze upya..
Angalia Designated survivor kama utaipenda
 
Aisee.. niko nacheki Empire. Kweli hawa majamaa walijipanga hii series, Naona wamemleta my blood rapper Juice J kupafomu..
Bado niko S1
 
Naanza kuweka Top 10 yangu
hsWMR60Kt0ERU_cGL9dlq0Isi8m3lxaa4MpWq43MFZOqCz_q_2DDpnpzIwWjoXQ9ZZ300_rgnwh5oJ1-Coh3MYOwbGozw...jpeg
 
17. Blindspot
yan katika series za kijinga hii ni mmoja wapo haina uhalisia kabisaa..ilinishinda.nilipakua complete seasons nikaangalia episode 3 hapo hapo nikaona ujinga nikazifutilia mbali...
 
Back
Top Bottom