Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba link mnayodownloadia hiz series tofauti na O2 TV series
Inahusu nini..?moja ya series kali lakini iliishia njian hua naikubali sana hii travellerView attachment 1282103
Inahusu nini..?
Nakumbuka enzi hizo tunaogopa balaa wakianza kula panya au wakijivua ngozi.... lol
Hapo kwa Korea nimekubali Chuno. "Slave Hunter" iko poa sana..Spartacus,
Prison Break,
Game of Thrones,
Into the Badlands,
Nikita,
Merlin,
Legend of the Seeker,
The 100,
Vampire Diaries,
Secret Circle,
Teen Wolf,
The Originals,
Single Ladies,
Shannara,
Power,
Empire,
Van helsing,
(Nikikumbuka nitaongezea)
Koreans,
Boys over Flowers,
City Hunter,
Personal Taste,
You are Beautiful,
Slave Hunters,
God of Trade,
Fated to Love You,
Hong Gil Dong.
(Nikikumbuka nitaongezea)
Hahaha kumbe anaikumbuka ???Nakumbuka enzi hizo tunaogopa balaa wakianza kula panya au wakijivua ngozi.... lol
Mtoto wa kando wa Waziri wa ulinzi, alitamani aweze kumuita waziri baba lakini sheria inasema yeye ni mtoto wa mtumwa(mama yake) hivyo na yeye ni mtumwa, anaishi maisha ya kibabe watu wanamchukia mpaka anapokuja kujiunga kundi la wezi na kwenda kinyume na serikali kupinga uonevu na udhalimu juu ya watumwa.... Kuna comedies za kufa mtu, ngumi zipo pia, story yake imetulia lakini inasikitisha mwisho wake.Hapo kwa Korea nimekubali Chuno. "Slave Hunter" iko poa sana..
Hong gil dong kama nishaiona hivi ila sikumbuki si unajua mambo ya vibanda umiza
Inahusu nini wangu....
Dexter is an American television crime drama mystery series that aired on Showtime from October 1, 2006, to September 22, 2013.[1] Set in Miami, the series centers on Dexter Morgan (Michael C. Hall), a forensic technician specializing in blood spatter pattern analysis for the fictional Miami Metro Police Department, who leads a secret parallel life as a vigilante serial killer, hunting down murderers who have slipped through the cracks of the justice system. The show's first season was derived from the novel Darkly Dreaming Dexter (2004), the first in a series of novels by Jeff Lindsay. It was adapted for television by screenwriter James Manos Jr., who wrote the first episode. Subsequent seasons evolved independently of Lindsay's works.Sasa si utakua pembeni utanilinda.. wee niambie
Kama ni kuuans na uchawi no..thanks sipendiAccording to Wiki...Dexter is an American television crime drama mystery series that aired on Showtime from October 1, 2006, to September 22, 2013.[1] Set in Miami, the series centers on Dexter Morgan (Michael C. Hall), a forensic technician specializing in blood spatter pattern analysis for the fictional Miami Metro Police Department, who leads a secret parallel life as a vigilante serial killer, hunting down murderers who have slipped through the cracks of the justice system. The show's first season was derived from the novel Darkly Dreaming Dexter (2004), the first in a series of novels by Jeff Lindsay. It was adapted for television by screenwriter James Manos Jr., who wrote the first episode. Subsequent seasons evolved independently of Lindsay's works.
Kama ni kuuans na uchawi no..thanks sipendi