Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hapo ni Both Team To Score au ni Amina win a CreenSheet🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto ageuke Jiwe kweli si mama angekuwa hospital katundikiwa gesi asingejiwez kwa lolote hata kuongea angeshindw naunga mkono achapwe viboko .Halafu alikuwa amekaza uso
hata yule wifi yake aliyehojiwa pia inaonekana kabisa walipanga hili jambo.Kama ni kweli aisee yule mwanamke ni WA kuogopa maana alikuwa anadanganya uso ukiwa mkavuui
Sioni haja ya kumpiga bakora, hasa kwa kuwa, hakumdhuru huyo mtoto mwingine wa KikeAsiachiwe bila walau bakora mbili
😂😂😂😂Sasa na wewe mwanaume unaahidiwa kuzaliwa mtoto wa Kiume nawewe unachekacheka tu,suala la jinsia ya mtoto ni la kuahidiwa kweli?
Ndio maana mtu anaamua kuleta taharuki,tena unaahidiwa na barmaid? Ona sasa mnatuletea vituko mitandaoni.
Inamaana angezaa mtt wa kiume hamis angemuoa?Sioni haja ya kumpiga bakora, hasa kwa kuwa, hakumdhuru huyo mtoto mwingine wa Kike
Kimsingi huyu mama ni mtu mzuri tu tena mwenye maarifa tatizo ni hali ngumu ya maisha imepelekea hayo yote. Natamani asaidiwe walau kamtaji aweze kulea familia ya watoto watatu wanaomtegemea mwenyewe....