Serikali: Aliyedai mtoto kageuka jiwe alidanganya. Alijifungua mtoto 1 wa kike na alikuwa kaweka ahadi ya mtoto wa kuime

Serikali: Aliyedai mtoto kageuka jiwe alidanganya. Alijifungua mtoto 1 wa kike na alikuwa kaweka ahadi ya mtoto wa kuime

Walokole sasa utasikia shiiiindwa kwa jina la yesu,,,kumbe wameigiziwa tu
 
Wale mashabiki wa uchawi njooni tena uzi wenu huu!
 
Asiachiwe bila walau bakora mbili
Sioni haja ya kumpiga bakora, hasa kwa kuwa, hakumdhuru huyo mtoto mwingine wa Kike
Kimsingi huyu mama ni mtu mzuri tu tena mwenye maarifa tatizo ni hali ngumu ya maisha imepelekea hayo yote. Natamani asaidiwe walau kamtaji aweze kulea familia ya watoto watatu wanaomtegemea mwenyewe....
 
Sijui kwanini mimi nimecheka sana! WaTz kwanini lakini? 🤣🤣🤣🤣

Ile story ya mwanzo niliiona sikutaka hata kuifungua kuisoma nilijua tu ni drama.
 
Sasa na wewe mwanaume unaahidiwa kuzaliwa mtoto wa Kiume nawewe unachekacheka tu,suala la jinsia ya mtoto ni la kuahidiwa kweli?

Ndio maana mtu anaamua kuleta taharuki,tena unaahidiwa na barmaid? Ona sasa mnatuletea vituko mitandaoni.
😂😂😂😂
 
Sasa kwahiyo walikula Njama na wifi yake pia?Mana WiFi anasema alimpokea mtoto akiwa bado Binadamu lakini amekufa,Ila kufika kwa mama chumbani mama Ndio akagundua mtoto amefariki
 
Tangu hii vita ya urusi ianze nimekuwa nikifuatilia sana media za kimataifa kama bbc, al jazeera, rt, n.k lakini sijawahi kukutana na habari kama hizi huko.

Sijui tuna tatizo gani afrika habari kama hii inakuwa reported na media kubwa kabisa za kitaifa hapa bongo.
 
Sioni haja ya kumpiga bakora, hasa kwa kuwa, hakumdhuru huyo mtoto mwingine wa Kike
Kimsingi huyu mama ni mtu mzuri tu tena mwenye maarifa tatizo ni hali ngumu ya maisha imepelekea hayo yote. Natamani asaidiwe walau kamtaji aweze kulea familia ya watoto watatu wanaomtegemea mwenyewe....
Inamaana angezaa mtt wa kiume hamis angemuoa?
 
😂😂😂😂😂
 
Watanzania ni wapumbavu kuamini miujiza
 
Back
Top Bottom