Serikali awamu ya sita inalipa mishahara mapema kabisa tarehe 22, imevunja rekodi ya Hayati Magufuli wa akilipa tarehe 25 mpaka 27. Hongera Rais Samia

Mkuu, nchi iliharibiwa sana na JPM, mama anaisuka, Tulia, safari ya kaanani iko asilimia 80
😂😂 sikutaka nikuite mpambe ila basi tu. Jitafakari sana, baba yako hawez kukuachia majukumu ya familia ikiwa inatumia elfu 5 kwa sku we unaanza na kufikia elfu 7 na kusema baba aliacha mazingra ya hovyo na bado ukaeleweka.
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Kwa kweli ni jambo jema sana.Hata sisi wakulima,mazao yetu yatapata wanunuzi mapema,ikiwa nyinyi,mlioko kwenye ajira rasmi,mnalipwa mapema.
 
Ambao hatujaajiriwa hii taarifa tunaifanyia kazi gani?
Sisi tusiojiriwa,tuko kwenye ajira zisizo rasmi,tunavyouza,vitanunuliwa mapema.Kama mazao yetu wakulima,waliojiriwa ,wakilipwa mapema na sisi,tunapata wateja,ambao ni waajiriwa katika sekta rasmi.
 
Analipa 25 Kwa crdb kuwa makini acha ushamba mpake kesho Bora magu ailikuwa 20 labda walimu nyie
 
Kutoka tarehe 27 ya mwezi wa tatu mpaka tarehe 27 ya mwezi wa nne ni siku 30.

Kutoka tarehe 22 na mwezi wa watu mpaka tarehe 22 ya mwezi wa nne ni siku 30.

Kujali watumishi sio kupunguza namba za tarehe bali ni kuongeza namba za mshahara.
Mkuu Safuher umenena
 
Humu nimm tu jobless au Kuna wengine??. Jamii forum kila mtu ni msomi na ana Gari pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3

Ivi mnapewaga nini mpaka kusifia mambo ya kitoto kama haya[emoji1787][emoji1787]
 
😍
 
Hakika MAMA ANAIJENGA NCHI....🙏

Anaendelea kuijenga NCHI iliyoanzwa kujengwa toka AWAMU YA KWANZA.......😍

#Siempre JMT🙏
#Siempre SSH,amen🙏
 
Ambao hatujaajiriwa hii taarifa tunaifanyia kazi gani?
Hii taarifa itakusaidia sana km ifuatavyo
1.Kujua Watumishi ambao unawadai ili
kufuatilia deni lako.
2.Kuwapiga mizinga jamaa zako ambao ni
Watumishi.
3.Km unafanya biashara, itakusaidia tarehe nzuri za kuwapelekea wateja wako bidhaa.
4.Kujua tarehe nzuri za kuwakopa Watumishi.
 
Ivi mnapewaga nini mpaka kusifia mambo ya kitoto kama haya[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220424-092902.jpg
 
Upuuzi mwingi sana, kulipwa mapema ni haki ya wafanya kazi!

Tuumie sisi, sifa apate mtia saini?

Anatoa pesa kwa sababu ni lazima afanye hivyo, siyo ombi, sifa za nini kwake na wakati pesa sio zakwake?
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Acheni hoja na kutoa sifa za kifala..
Kitu muhimu hapa ni consistency and predictability kwamba kila tarehe fulani ikifika mshahara unatoka.
Kwani ukitoka tar 22 ya kila mwezi ndio siku zinapungua au zinabaki siku zilezile 30??

Kitu kibaya katika ulipaji mishahara ni kuyumba leo tar 22 mwezi ujao tar 30 yaani mshahara ule ule leo uhudumie siku 30 mwezi ujao siku 40 au mwezi mwingine sike 23.
Hata mshahara ukitoka kila tar 30 haina shida.

Mengine yote ni upuuzi tu
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Hata ukilipwa tarehe 15 lazima utasubiri tena mpka tarehe 15 ileile hakuna cha maana, mfumuko wa bei upo palepale
 
Back
Top Bottom