Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege mbili za mafunzo. Hadi sasa, wanafunzi 10 wa leseni ya awali ya urubani (PPL) wamehitimu mafunzo ya nadharia huku wanafunzi nane wakifika hatua ya kurusha ndege bila mkufunzi (solo flight), na wanafunzi wengine 12 wakijiandaa kuanza mafunzo ya vitendo. Serikali pia inaendelea kuimarisha programu hiyo kwa kuongeza ndege mpya, ikiwemo Beechcraft Baron G58 moja na ndege mbili aina ya Cessna Skyhawk 172S.
IMG-20260514-WA0050.jpg
 
Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege mbili za mafunzo. Hadi sasa, wanafunzi 10 wa leseni ya awali ya urubani (PPL) wamehitimu mafunzo ya nadharia huku wanafunzi nane wakifika hatua ya kurusha ndege bila mkufunzi (solo flight), na wanafunzi wengine 12 wakijiandaa kuanza mafunzo ya vitendo. Serikali pia inaendelea kuimarisha programu hiyo kwa kuongeza ndege mpya, ikiwemo Beechcraft Baron G58 moja na ndege mbili aina ya Cessna Skyhawk 172S.View attachment 3588691
Kila la kheri maafisa usafirisha wa anga waliopo kwenye mafunzo kwa vitendo.

well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Niki staafu kutumikia taifa, nitaenda jifunza kuendasha just for funny
 
Back
Top Bottom